BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,631
- 11,890
255
255
Kabisa mkuu na huwa naamini hivyo.
Hahaaaa. Ndio hivyo mdogo wangu.
Ila kibongo bongo saiv mpaka ufike hatua kama yake umesota kweli si rahisiMaisha bana yaani kuna njia nyingi sana za kuyatusua.
Anakula maisha kwa kabumbu tu. Aisee
Sina la kusema dada yangu.Hahaaaa. Ndio hivyo mdogo wangu.
Wacha wivu.....mwacheni KIBA na KIUNO CHAKE....Angalau tunaweza kumuona kijana wetu akiwa katika ustaa halisi badala ya ule wa bandia na kukati viuno! Kila lakheri.
Kweli kabisa mdogo wangu.Sina la kusema dada yangu.
Haya magepu lazima tuvumiliane tu.
Afu cjui kapotelea wapi bobanDaaaah Haruna Moshi Boban angekomaa nae angefikia anga hizo daaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa dingi.Ila kibongo bongo saiv mpaka ufike hatua kama yake umesota kweli si rahisi
Najaribu kuona nchi kama Nigeria, Ghana etc zenye sijui mnaita academies za michezo.. mpira in paricular. sawa zina wachezaji nje. Je ni wangapi ukilinganisha na vijana waliobaki nyumbani? Tuwekeze sawa kwenye michezo, lakini tusiwape matumaini makubwa ya ajira ya mpira vijanaTukiwa na miundombinu mizuri na mipango mizuri, mpira utatoa ajira nyingi sana:
Makocha, marefa, wachezaji, n.k '........................
Maisha bana yaani kuna njia nyingi sana za kuyatusua.
Anakula maisha kwa kabumbu tu. Aisee



Kweli kabisa mkuu. Yaani akishaandika aliye juu hakuna wa kuzuia.Umeona eeh? Aisee![]()