donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Wangapi wataajiliwa na mpira? Sawa michezo iwepo/ifundishwa, ipewe umuhimu, but not that it will create employment for the youth masses! We need to do more !Halafu viongozi wa michezo hawathamini michezo kama mbadala wa ajira kwa vijana wengi, kazi kuvimbiana mitumbo yao.
Tukiwa na miundombinu mizuri na mipango mizuri, mpira utatoa ajira nyingi sana:Wangapi wataajiliwa na mpira? Sawa michezo iwepo/ifundishwa, ipewe umuhimu, but not that it will create employment for the youth masses! We need to do more !
SureAngalau tunaweza kumuona kijana wetu akiwa katika ustaa halisi badala ya ule wa bandia na kukati viuno! Kila lakheri.
Na bado ataitwa central, ataambiwa ilo eneo limefanana na eneo fulani masaki,Bongo hayo mavazi ya kijeshi angekamatwa.
Kweli kila mtu kaandikiwa rizki yakeMaisha bana yaani kuna njia nyingi sana za kuyatusua.
Anakula maisha kwa kabumbu tu. Aisee
Maisha bana yaani kuna njia nyingi sana za kuyatusua.
Anakula maisha kwa kabumbu tu. Aisee
