Mbwana Samatta

250689

Member
Jan 3, 2011
32
4
Pamoja na yote yaliotokea uwanjani lakini samata ameunyesha kiwango kizuri..i can see a better future for him kama atatulia na kuelekeza akili yake kwenye soka..ila akiendekeza misifa badala ya kucheza mpira kama wenzake tunaowafahamu si bure hata baada ya miaka miwili tukamsahau ktk medani ya soka.
 
Samata anatakiwa aondoke kabisa Simba na Tanzania kama anataka kuendelea... Ajaribu kwenda nchi zinazoheshimika kwa kukuza vipaji kama belgium, France

Kwakweli he is a gem na movement zake kama ni darasani tungesema ni mtaalam wa physics ya kufa mtu

the boy is a superstar
 
Hao akina Samatta wapo wengi sana Bongo, na wapo wakali zaidi ya Samatta.
Walivyotokea akina Ngassa nao walisifiwa hivyo hivyo.
Dawa sio kumkimbiza Samatta nje ya nchi, tuanze kwanza kuijenga soka nzima ya Tanzania.
 
kwa kweli dogo ni mzuri ila tatizo la wachezaji wa bongo akisifiwa tuu anavimba kichwa na kuacha kufanya mazoezi
 
Atafutiwe nafasi aondoke Tz. Reality is that kipaji chake kitadumaa akibaki, case in point Ngassa. Yaani hata kama MLS as long as its not Africa. Mwenzake Nizar anang'ara huku juzi tu hapa he turned in a super-sub perfomance with two second half assists to help bring his team back from a 3-0 defecit.
 
msihofu kijana anadaliwa vzr tu,na jana baada ya game Rais wa TP Mazembe Mois Katumbi kafanya naye maongezi...yamefikia mapuzuri....hope watamchukua
 
Thats all good lakini mi naona Africa is not sufficient for him to reach his potential though TP Mazembe would be a good place as any to start with.

Atafutiwe nafasi aondoke Tz. Reality is that kipaji chake kitadumaa akibaki, case in point Ngassa. Yaani hata kama MLS as long as its not Africa. Mwenzake Nizar anang'ara huku juzi tu hapa he turned in a super-sub perfomance with two second half assists to help bring his team back from a 3-0 defecit.
 
Hahaha! I just realized I replied to my own post. Duh!

Atafutiwe nafasi aondoke Tz. Reality is that kipaji chake kitadumaa akibaki, case in point Ngassa. Yaani hata kama MLS as long as its not Africa. Mwenzake Nizar anang'ara huku juzi tu hapa he turned in a super-sub perfomance with two second half assists to help bring his team back from a 3-0 defecit.
Thats all good lakini mi naona Africa is not sufficient for him to reach his potential though TP Mazembe would be a good place as any to start with.

Duuh! Never seen before!
 
Wengine tuko mbali jamani, vipi simba jana imeandika Historia? naomba kujulishwa matokeo.
 
Huyo dogo nilimuona kwa mara ya kwanza mwaka jana wakati timu yake ya wakati huo, African Lyon, inacheza na Simba uwanja wa uhuru. Mara moja nilgundua kwamba ni mchezaji mwenye future nzuri sana katika soka. Aliwasumbua mabeki wa Simba throughout the game, ingawa hakufunga goli siku hiyo. Anahitaji msimu mmoja zaidi kwenye Premier league ya Bongo ili ang'are zaidi. Nina uhakika atafika mbali sana kisoka.
 
Wengine tuko mbali jamani, vipi simba jana imeandika Historia? naomba kujulishwa matokeo.

Simba haikuandika historia yoyote, ingawa ilifunga mabao mawili (yaliyotakiwa), bahati mbaya wao wakafungwa matatu!
 
Mbwana mzuri jamani, yaani ana features zote za mchezaji profesheno... Positioning, target, speed, accuracy... Aaah, nyie acheni tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom