Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa

Siwezi kumshangaa mtu ambaye hakupita shule kutokujua kuzungumza kiingereza!

Nitamshangaa yule aliyepita shule tena achana na sekondari, amepita chuo kikuu kabisa halafu hajui kuzungumza hiyo lugha!

Mbwana anajua lugha yake ya taifa tu!
 
Mkuu we unajua nimekukubali.
 
5e8a84027cf5b146c0cc913c3ef8cf0e.jpg
 
Siwezi kumshangaa mtu ambaye hakupita shule kutokujua kuzungumza kiingereza!

Nitamshangaa yule aliyepita shule tena achana na sekondari, amepita chuo kikuu kabisa halafu hajui kuzungumza hiyo lugha!

Mbwana anajua lugha yake ya taifa tu!
Kupita shule ndiyo kujua kiingereza?
 
Ina maana huyu Samatta wetu anavyoongea kiswahili kwenye majukwaa ya Kimataifa na ndani ni kwamba hajui lugha ya Malkia ama ni kukienzi cha kwetu?
 
Watanzania wengi ni "ma-bogus". Hushindwa kutofautisha masuala(issues) na kuyajadili kwa weledi. NA HUSHINDWA PIA KUELEWA HOJA NA KUELEWA MSINGI WA HOJA HUSIKA.

Ndiyo sababu utaona mtu analeta uzi wenye hoja ya kitaifa kwa faida ya watu wote, lakini "Mapopoma" haraka sana hukimbilia kwenye u-vyama na kuanza kutaja majina ya watu!! KAMA WATU HAWAWEZI KUJUA MATATIZO/MASUALA YA KITAIFA NA KUYAJADILI KWA PAMOJA, HHAKUNA NAMNA YA KUSONGA MBELE! NI MKWAMO.

Rejea mada husika ya Kiingereza cha Mbwana Samatta:

Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine, haina umaalumu wowote ingawa imetapakaa dunia nzima na ni muhimu sana kuijua.

Kama hukubahatika kusoma na kujifunza Kiingereza, hakuna shida yeyote ukikosea kukiongea au kutokukijua kwasababu si lugha yako.

Lakini kama umesoma hadi Chuo Kikuu, au hadi kidato cha sita na hujui Kiingereza wewe ni mpumbavu tu! Una low IQ, umeshindikana na ni hasara ya mama yako
 
What do you do for fun hommie. You seem uptight. Legeza roho kidogo hata utabasamu basi shida zote hizi na wewe unataka kuziongeza tu.
Majungu yatakuua wewe mbona unajipa kazi? Mbwana Samata anaishi kwa kutegemea miguu yake sio mdomo wake. We kaa hapo legeza makalio unapost ujinga mwenzio yupo uwanjani anapiga dana dana. Kiingereza jifunze wewe ambaye kinakuingizia kipato
 
Back
Top Bottom