Mbwana Samatta akifanya yake

Nonda shabani Papii alipita wapi vileee...samatta ana ugonjwa wa kitanzania..mechi ya kuonyesha dunia anacheza chini ya kiwango...ila ana kiwango cha kucheza crystal palace. West ham.nk
Hii inatokea bana kwa kila mchezaji. Mbona kuna mechi ronaldo, messi, neymar, rooney na wakali unaowajua wanacheza chini ya kiwango? au samatta mungu ndo daily amaintain?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom