BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 654
- 1,598
Mbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get started - allez les ciel et marine.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na Le Havre AC inayoshiriki ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1🇫🇷) akitokea PAOK ya Ugiriki.
Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mchezaji wa kwanza kutokea Tanzania kusajiliwa na timu ya Ligi Kuu nchini Ufaransa.