Tallmfupi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2015
- 240
- 78
Hahahahah darasa la pili mkuu???Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
Hahahahah darasa la pili mkuu???Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
Hii aibu. Nadhani kuna watu hawaelewi jinsi entries zinavyoingia Wikipedia.Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
Mbwana Samatta
Mbwana Samatta playing for Tanzania
Personal information
Full name Mbwana Ally Samatta
Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23)
Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania
Height 1.80 m (5 ft 11 in)
Playing position Striker
Club information
Current team
KRC Genk
Number 77
Youth career
2008–2010 African Lyon
Senior career*
Years Team Apps† (Gls)†
2010–2011 Simba SC 25 (13)
2011–2016 TP Mazembe 103 (60)
2016– Genk 19 (6)
National team‡
2011– Tanzania 29 (18)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 08:48, 16 April 2016 (UTC.
† Appearances (goals)
‡ National team caps and goals correct as of 09 January 2016
Mmoja wa Watanzania wachache kuwa na historia Wikipedia.
hongrea niona jina lako unaenda Tukuyu TTCMbona mimi nilikua sijui ingawa nimetimuliwa UDOM na mkulu juzi juzi tu??
Hii aibu. Nadhani kuna watu hawaelewi jinsi entries zinavyoingia Wikipedia.
Na kwamba mtu yeyote anaweza ku edit information provided identity yake ijulikane.
Hahahahah darasa la pili mkuu???
Mbwana Samatta
Mbwana Samatta playing for Tanzania
Personal information
Full name Mbwana Ally Samatta
Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23)
Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania
Height 1.80 m (5 ft 11 in)
Playing position Striker
Club information
Current team
KRC Genk
Number 77
Youth career
2008–2010 African Lyon
Senior career*
Years Team Apps† (Gls)†
2010–2011 Simba SC 25 (13)
2011–2016 TP Mazembe 103 (60)
2016– Genk 19 (6)
National team‡
2011– Tanzania 29 (18)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 08:48, 16 April 2016 (UTC.
† Appearances (goals)
‡ National team caps and goals correct as of 09 January 2016
Mmoja wa Watanzania wachache kuwa na historia Wikipedia.
Hahahaha, kumbe mimi nikikuzidi ukilaz.a eeh, au wewe ndiye uliyenizidi?
Great thinkers ndio hao mkuu....Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
Weweeee Hapo wametudanganya....sio wa 92 Samatta.... KudadadekiWe ndo mzazi wake? Wivu wa namna hii ni mbaya sana
Great thinkers ndio hao mkuu....
Mbwana Samatta
Mbwana Samatta playing for Tanzania
Personal information
Full name Mbwana Ally Samatta
Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23)
Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania
Height 1.80 m (5 ft 11 in)
Playing position Striker
Club information
Current team
KRC Genk
Number 77
Youth career
2008–2010 African Lyon
Senior career*
Years Team Apps† (Gls)†
2010–2011 Simba SC 25 (13)
2011–2016 TP Mazembe 103 (60)
2016– Genk 19 (6)
National team‡
2011– Tanzania 29 (18)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 08:48, 16 April 2016 (UTC.
† Appearances (goals)
‡ National team caps and goals correct as of 09 January 2016
Mmoja wa Watanzania wachache kuwa na historia Wikipedia.
He is our national icon, we love you Mbwana.Mkuu ahsante kwa uzi wako huu.
Napenda wakuu mnisaidie kupata habari Zaidi kuhusu huyu kijana ili name niendeleze libeneke la kufanya updates kwenye Wikipedia.
Leo hii tayari nimefanya Updates na nimeeleza kwamba Mbwana Samatta anakuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya Europa.
Napenda kupata habri za alipokuwa Yanga Africans alicheza kipindi gani, amechezea timu ya taifa mara ngapi?
Updates zingine ntaendelea kuziweka kila nipatapo nafasi.
Ahsanteni.
Angalia updates za leo kuhusu kijana Mbwana Samatta- Mbwana Samatta - Wikipedia, the free encyclopedia
wikiedia ndo mzaz wak?Kwanini wewe umeelewaje hapo?.
Kijana wa mwaka 1992 huyo, au unataka kusema Wikipedia imekosea?
Mkuu mbona samatta hajawahi kuchezea yanga AfricansMkuu ahsante kwa uzi wako huu.
Napenda wakuu mnisaidie kupata habari Zaidi kuhusu huyu kijana ili niendeleze libeneke la kufanya updates kwenye Wikipedia.
Leo hii tayari nimefanya Updates na nimeeleza kwamba Mbwana Samatta anakuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya Europa.
Napenda kupata habari za alipokuwa Yanga Africans alicheza kipindi gani, amechezea timu ya taifa mara ngapi?
Updates zingine ntaendelea kuziweka kila nipatapo nafasi.
Angalia updates za leo kuhusu kijana Mbwana Samatta- Mbwana Samatta - Wikipedia, the free encyclopedia
Ahsanteni.
Wee, ebu acha ulimbukeni! Wikipedia hata wewe unaweza weka historia yako, ni open source!Mbwana Samatta