Mbwana Ally Samatta katika Wikipedia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,503
2,000
Mbwana Samatta


Mbwana Samatta playing for Tanzania
Personal information
Full name
Mbwana Ally Samatta
Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23)
Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania
Height 1.80 m (5 ft 11 in)
Playing position Striker
Club information
Current team

KRC Genk
Number 77
Youth career
2008–2010
African Lyon
Senior career*
Years
Team Apps† (Gls)†
2010–2011
Simba SC 25 (13)
2011–2016 TP Mazembe 103 (60)
2016– Genk 19 (6)
National team‡
2011–
Tanzania 29 (18)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 08:48, 16 April 2016 (UTC.
† Appearances (goals)


‡ National team caps and goals correct as of 09 January 2016

Mmoja wa Watanzania wachache kuwa na historia Wikipedia.
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,890
2,000
Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
 

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,985
2,000
We ndo mzazi wake? Wivu wa namna hii ni mbaya sana
Kwanini wewe umeelewaje hapo?.
e62553c61b299c7da211c8a6a3f9219c.jpg


Kijana wa mwaka 1992 huyo, au unataka kusema Wikipedia imekosea?
 

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,144
2,000
Hongera zake kamjoin Diamond Platnumz aka mume wa Zari aka baba Tiffah aka Simba aka ect humo...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom