Km hakuna jike hawezi kuwa na hamu...na hata ikitokea jike likawepo ila haliko kwenye heat haliwezi kumpa mambo....
Ndio walivyoumbwa sio km wanadamu wakukosa wahaha...lol
Thanks hii niikuwa siijui...Na dolphins (kiswahli chake nadhani ni bompoo). Hawa wanyama waishio baharini wana taabu kama binadamu-kufanya ngono kwa kutamaniana na sio kwa ajili ya kuzaana kama walivyo VIUMBE WOTE WENGINE aliouumba Mwenyezi Mungu.
Leta ushahidi wa hilo kuhusu dolphins. Dolphins wana akili kuliko wastani wa wanyama wengine lakini sidhani kama hufanya sex for pleasure kama binaadamu.Na dolphins (kiswahli chake nadhani ni bompoo). Hawa wanyama waishio baharini wana taabu kama binadamu-kufanya ngono kwa kutamaniana na sio kwa ajili ya kuzaana kama walivyo VIUMBE WOTE WENGINE aliouumba Mwenyezi Mungu.