Mbwa wangu ameweuka

Mbwa wangu ameweuka

assen

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
55
Reaction score
30
Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa.

Baada ya hilo tukio anakuwa kama bado anamwona huyo mnyama au mdudu tuseme. Basi analia sana na anakuwa kama anamkimbiza huyo kiumbe au anakimbizwa na hicho kiumbe. Kuna wakati anajificha na kujikunyata.

Hii Hali inampata kila mara. Usiku wa Leo alikuwa anakimbia kujificha au kukikimbiza hicho kiumbe.

Ninapoishi Kuna mapori mengi. Nyumba yangu Ina fenzi karibu yote ila sehemu ndogo fenzi haijapanda sana.

Huyo mbwa mwenye tatizo hili ni wa kienyeji. Bandani kwangu wapo mbwa wengine watatu wao siyo wa kienyeji, hawana hilo tatizo.

Wanaojua hayo mambo naomba msaada. Kuna dawa yoyote au ni ushirikina?

Majirani zangu pia walikumbwa na hilo tatizo...mbwa wao walikuwa wanaweweseka baadaye hamu ya kula iliisha hatimaye walikufa.

Wenye utaalamu wa hayo masuala naomba msaada
 
Tafuta wataalamu wa wanyama watamsaidia
 
Huo ni mwanzo tu.Wameanza na mbwa,unanyemelewa wewe.Refer:Mbwa wa nabii Lema wa CHADEMA.
 
nataman kungekua na option ya voic not nkuelezee shida ya mbwa wako ila kifup sio kwamba kawehuka au kaona kiumbe chochote ni amepatwa na hali kama ya kufa ganz mfumo wake wa faham na iyo inatokana kutokuwapa dawa za minyoo kwa muda mrefu mwangalie akiwa anatembea sa nyingne anaweza kugonga ukuta kama vile ajauona na sa nyingne anashndwa kunyanyuka mwenyew mpe maziwa sana kama siku mbili kisha mpe doz ya minyoo ile strong yakuweka kwenye supu
 
Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa.

Baada ya hilo tukio anakuwa kama bado anamwona huyo mnyama au mdudu tuseme. Basi analia sana na anakuwa kama anamkimbiza huyo kiumbe au anakimbizwa na hicho kiumbe. Kuna wakati anajificha na kujikunyata.

Hii Hali inampata kila mara. Usiku wa Leo alikuwa anakimbia kujificha au kukikimbiza hicho kiumbe.

Ninapoishi Kuna mapori mengi. Nyumba yangu Ina fenzi karibu yote ila sehemu ndogo fenzi haijapanda sana.

Huyo mbwa mwenye tatizo hili ni wa kienyeji. Bandani kwangu wapo mbwa wengine watatu wao siyo wa kienyeji, hawana hilo tatizo.

Wanaojua hayo mambo naomba msaada. Kuna dawa yoyote au ni ushirikina?

Majirani zangu pia walikumbwa na hilo tatizo...mbwa wao walikuwa wanaweweseka baadaye hamu ya kula iliisha hatimaye walikufa.

Wenye utaalamu wa hayo masuala naomba msaada

Akiteweka hivyo kwa week nashauri umpzishe tu kwa sumu, maana hayo no mateso kwa Bwana dog
 
nataman kungekua na option ya voic not nkuelezee shida ya mbwa wako ila kifup sio kwamba kawehuka au kaona kiumbe chochote ni amepatwa na hali kama ya kufa ganz mfumo wake wa faham na iyo inatokana kutokuwapa dawa za minyoo kwa muda mrefu mwangalie akiwa anatembea sa nyingne anaweza kugonga ukuta kama vile ajauona na sa nyingne anashndwa kunyanyuka mwenyew mpe maziwa sana kama siku mbili kisha mpe doz ya minyoo ile strong yakuweka kwenye supu
Kuna part hapo amesema na baadhi ya mbwa wa jirani zake wamepitia hiyo hali, hii imekaaje?
 
Asante ...nitajarubu hivyo
 
Kuna part hapo amesema na baadhi ya mbwa wa jirani zake wamepitia hiyo hali, hii imekaaje?
inawezekana kwasababu ya sehem wanazochukulia vyakula kama n mabuchan au masokon n sehm moja kama mbwa wanajilia wenyew uko nje n lazma liwakute kwa pamoja kama anawapkia yawezekana aivish vyakula vyao
 
Back
Top Bottom