Bange mbayaHamna mbwa hapo .. naona manyoya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wee jamaa umenichekesha kinyamaaHamna mbwa hapo .. naona manyoya tu
Kuliko ninunue mbwa milioni 7 si bora niwanunulie chipsi zege wananchi wote wa buza, wataniambia asante
Sijui jamaa anajua waTanzania ni wajingaKweli mkuu mbwa asiye na mafunzo kwa bei ya milioni 7 ni uhujumu uchumi.
Mil 7 ni pesa ya kununua chombo cha moto siyo mbwa tena asiye na ABC kichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wee jamaa umenichekesha kinyamaa
Sijui jamaa anajua waTanzania ni wajinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wee jamaa umenichekesha kinyamaa
Mil 7 mbwa kama nyau
ulimi mrefuuuuu,mbwa mwenyewe unamfuga ka mbuzi
muweke bandani sio kumgeuza kondooo
Duuh mtamuua mwanaaMil 7 mbwa kama nyau
ulimi mrefuuuuu,mbwa mwenyewe unamfuga ka mbuzi
muweke bandani sio kumgeuza kondooo
Ila watu wa Dar mnapenda sana chipsi.Kuliko ninunue mbwa milioni 7 si bora niwanunulie chipsi zege wananchi wote wa buza, wataniambia asante