Mbwa wa kizungu wa kufuga anahitajika

Mbwa wa kizungu wa kufuga anahitajika

Mapfa A

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
250
Reaction score
260
Habari wakuu . Mbwa mdogo wa kizungu anahitajika kwa ajili ya kufuga. Kama unaye plz.
 
Habari wakuu . Mbwa mdogo wa kizungu anahitajika kwa ajili ya kufuga. Kama unaye plz.

Huu utata,Mbwa wa Kizungu ndio yukoje....?? Kama Ng'ombe wa kizungu, kuku wa kizungu, uzunguni, uhindini, uswahilini, lord have mercy!!!!! Miaka michache baada ya Uhuru.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom