mkuu hamna cha cross breeding hapo.kwa sisi ambao tuna idea kidogo na graphic design & visual communication,hili jambo huitwa "photo manipulation".it's very common in today's world.can be done via standard computer software like adobe photoshop, aperture and GIMP.picha za namna hiyi zimejaa tele kwenye mitandao ya kijamii.mfano kuna zile zinazo muonyesha obama na bush kama wanawake au ile iliyo jaribu kumdhalillisha raisi wetu enzi zile kupitia mtandao flani hivi nimeusahau jina.
ila huyo jamaa aliye manipulate hizo picha za mbwa,inaoneka ana skills kubwa sana ktk art hiyo.