Mbwa koko wameadimika mtaani

Mbwa koko wameadimika mtaani

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,633
Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.

Lakini siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.

Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
 
images - 2023-04-11T134028.058.jpeg
 
Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.

Lkn siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.

Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
KAma kweli hivi, wala supu na mishikaki kiholela kazi kwetu
 
Back
Top Bottom