Mbwa aliyemuuma kingunge

hahaa mzee Kingu alikuwa hatambui uwepo wa dini, hata mpwa wake nao hawatambui uwepo wake km owner wakaona wamng'ate tu@What goes around comes around
Kwahiyo wenye dini wanaopata ajali kila kukicha ,kufa kwa kung'atwa na mbu tusemaje ?

Tuseme pia what goes around comes around sio
 
Dunia ya leo bado tunafuga mbwa? zipo spy camera za kila aina. huyo mbwa akibweka anayoka na panga?
Spy camera zinakamata Mwizi usiku au but kwa taarifa yako hata Kwenye sehemu nyeti kuna camera na Kuna mlinzi mbwa ni mlinzi ,ungejua Kazi za mbwa usiku usingeongea hivyo.nina camera Nina silaha but mbwa pia wapi,kuna kipindi usiku mbwa akibweka najua Kuna kitu natoka na cha moto kwenda kuangalia.
 
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIU'UN
WAKATI UKIFIKA HAKUNA ATAKAYE WEZA KUZUWIA, KUWAHISHA WALA KUCHELEWESHA..
MBWA ALIKUA NI SABABU TU.
R.I.P. MZEE.
 
Kosa hapo ni la marehemu,kwanini asiwazoee mbwa wanaofugwa nyumbani kwake?
R.I.P mzee wetu
 

Mnataka kumwangushia jumba bovu kijana wa watu.

Mbwa anamjua kijana wa kazi kuliko mwenye nyumba wakati kijana wa kazi ni wa kupita, ilitakiwa Mzee mwenye nyumba awe ni mmoja wa aliyezoewa na mbwa.
 
Usiogope, mbwa yulee hakuwa kichaa bali ni shetwani tu alimuingia. Huwezi kumuua mbwa mwaminifu kwa bwanake miaka nenda, miaka rudi. Kabla hamjamuua mbwa, mwulizeni mshana jr
Hili nalo jambo?,maana kweli mbwa hua hamg'ati master wake otherwise kuna namna nyingine
 
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Atakuwa ana fanyiwa upelelezi ili ahukumiwe miaka 30 kwa kosa la kujeruhi
 
Mnataka kumwangushia jumba bovu kijana wa watu.

Mbwa anamjua kijana wa kazi kuliko mwenye nyumba wakati kijana wa kazi ni wa kupita, ilitakiwa Mzee mwenye nyumba awe ni mmoja wa aliyezoewa na mbwa.
Tabia ya mbwa au mnyama yeyote wa kufugwa anakuwa karibu na anaye muhudumia, yeye hajui kama humo ndani kuna baba mwenye nyumba, mama au watoto labda wao ndio wawe karibu naye ili awazoee vinginevyo matokeo ndio hayo
 
Usiogope, mbwa yulee hakuwa kichaa bali ni shetwani tu alimuingia. Huwezi kumuua mbwa mwaminifu kwa bwanake miaka nenda, miaka rudi. Kabla hamjamuua mbwa, mwulizeni mshana jr

Bwanaake? Huyo mbwa bwanaake alikua mzee kingunge? Hebu fafanua Tafadhali kwani alikua mbwa jike?
 
kwani katiba ya nchi inasemaje kuhusu kushusha bendera nusu mlingoti??? au unataka washushe ili kuilidhisha nafsi ya moyo wako???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…