Mbwa aliyemuuma kingunge

Mbwa aliyemuuma kingunge

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
908
Tokea tulipopata taarifa kuwa mzee kingunge ngombale mwilu amelazwa Hospitali ya Taifa muhumbili baada ya kuumwa na mbwa wake akiwa nyumbani kwake, hadi leo tumepata taarifa kuwa mzee kingunge ameaga Dunia hatujapewa taarifa kuwa yule mbwa amechukuliwa hatua gani, nakama bado yupo palepale sehemu ya tukio yaani nyumbani kwa marehemu hataweza kufanya tukio kamahilo kwa mwanafamilia mwingine?
 
Anashikiliwa na polisi wakati uchunguzi ukiendelea, huenda akalewa dhamana kushitiki mazishi.
Ahsante
 
Hawakumtrain basi huyo mbwa jamani!
Watoto wake walishasema kuwa, wakati wa kulala wakishafunga milango, mlinzi huwafungulia. Alfajiri sana, huwafungia bandani. Hao mbwa walikuwa hawamfahamu!
Yote kwa yote, kwa mchango wake kwa Nchi hii, si yeye, wala mke wake tiba zao zingeishia Muhimbili tu! Serikali ingepaswa kuwatafutia tiba hata nje ya Nchi! Na si hivyo tu, hata bendera ya taifa, ilipaswa imlilie kwa nusu mlingoti, hata kwa siku moja, kama si tatu!
Tusilione hili ghorofa ( Tanzania) limesimama hivi, wapo waliojitolea kulijenga!
Kuwa nje ya KIJANI, si sababu ya kunyimwa haki yake!
 
Duhhh kumbe ni hivyo aisehhh
 
Tokea tulipopata taarifa kuwa mzee kingunge ngombale mwilu amelazwa Hospitali ya Taifa muhumbili baada ya kuumwa na mbwa wake akiwa nyumbani kwake, hadi leo tumepata taarifa kuwa mzee kingunge ameaga Dunia hatujapewa taarifa kuwa yule mbwa amechukuliwa hatua gani, nakama bado yupo palepale sehemu ya tukio yaani nyumbani kwa marehemu hataweza kufanya tukio kamahilo kwa mwanafamilia mwingine?

kwa wafugaji wa mbwa (haswa wa ulinzi sio wa show off) mtakuwa mmelielewa hili suala...

kwa kawaida na mara nyingi sisi tunaofuga haya majibwa (sio mbwa) maana yameshiba kweli kweli huwa tuna kasumba moja ya kumzoesha mbwa watu wasiozidi watatu ndan ya nyumba ili tuuu kuongeza ufanisi wake yani kuna kawaida kuwa mbwa akizoea watu wengi ufanisi (ukali) wake hupungua..

mara nyingi mbwa huzoeshwa watu watatu tuuu watakaokuwa wanampa huduma na kumfungia na kumfungua

ikifika saa nne usiku wote ambao mbwa hajawazoea inabidi msitoke nje sababu ndio mda wa kufunguliwa mbwa.. na kwa waliomzoea wanaamka asubuhi sa kumi na moja kuwafungia mbwa ili watu wengine waendelee na shughuli zao

kilichotokea kwa marehemu mzee kingunge... hao mbwa hawakuwahi hata kumuona kwan wamemzoea kijana wa kazi anayewashughulikia huwa wanafunguliwa saa 4 usiku na kufungiwa saa kumi na moja alfajiri kabla ya wanafamilia kuamka

siku ya tukio kijana anayewapa huduma wale mbwa alipitiwa na usingizi akachelewa kuwafungia huku mzee kingunge akijua kwa muda ule tayar watakuwa wamefungiwa akatoka ili aelekee mazoezin ile tu alipotoka akiwa anakaribia geti hamaadii mbwa wakamuona wakamvamia wakijua ni mwizi sababu hawajawahi kumuona hata siku moja licha ya kuwa yy ndio mwenye nyumba.... kosa sio la mbwa kwan walikuwa wanatimiza jukumu lao la ulinzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom