Mbuzi wa Baba!!

Nani aliyenyanyasika mkuu???Maana kuna pikipiki,watu,mbuzi na chakula anachokula huyo jamaa.
 
nimecheeeeeeeeeeeeeeka basi. Jamani mbuthi wooote hao kwenye toyo moja? mchina aliyeitengeza akiona lazima akubali Mwafrica hajui thamani a kitu.hata kwente guta hawakai.
 
Mbuzi aliepanda pikipiki atakuwa na bei juu kuliko waliotembea kwa miguu1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…