matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
Hili ndo tatizo la kuwa na shule ndogo na kufikiri kidogo. Wewe kitu kimetokea halafu unasema haiwezekani badala ya kufikiria zaidi..! Weka bembeni hicho kibiologia chako and Think bigNi kweli kabisa ulisemalo..... Haiwezekani as per chromosome number.
Watoto wa namna hiyo baadaye huja kusumbua humu kwenye majukwaa ya JF kwa maneno machafu.
Hebu tujuze ndugu. Idadi ya 'chromosomes' za mbuzi ni ngapi?
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
Watoto wa namna hiyo baadaye huja kusumbua humu kwenye majukwaa ya JF kwa maneno machafu.[/QU hahaha jf kuna mambo wajameni
Akileta usumbufu unamuuliza mama ake anaitwa nani?