Mbuyu huu ni hatari kwa Wana-Mwanza

Mbuyu huu ni hatari kwa Wana-Mwanza

Mimi nadhani ni muda wa serikali pamoja na watendaji wake kuchukua hatua...haijalishi ni kilinge cha nani wala nani...kinachotakiwa uondolewe.

Na serikali ndio sisi tunafikishiana taarifa ili wenye dhamana wafanye kazi yao.

Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Tanroads wanauona mkuyu huo Kama pambo la barabarani!!
 
Watakua wanauogopa maana miti ya mwanza ina historia ya kutoa damu na kulia ikiwa inakatwa
 
Back
Top Bottom