V Vikintu JF-Expert Member Joined May 26, 2021 Posts 2,127 Reaction score 3,285 Dec 13, 2022 #1 Wakuu, maneno hayo hutumiwa sana na vituo vya TBC na Azam TV mtawalia. Naomba mnielimishe, yana maana gani? Binafsi nakereka kuona yakitumiwa sana na watangazaji wa TV hizo huku maana yake ikiwa haijulikana.
Wakuu, maneno hayo hutumiwa sana na vituo vya TBC na Azam TV mtawalia. Naomba mnielimishe, yana maana gani? Binafsi nakereka kuona yakitumiwa sana na watangazaji wa TV hizo huku maana yake ikiwa haijulikana.
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,313 Reaction score 7,963 Dec 14, 2022 #2 Cheza mbungi mtonyo uibuke kidedea
V Vikintu JF-Expert Member Joined May 26, 2021 Posts 2,127 Reaction score 3,285 Dec 14, 2022 Thread starter #3 Vitalis Msungwite said: Cheza mbungi mtonyo uibuke kidedea Click to expand... Ndio unielimishe sasa, mbungi ni nini?
Vitalis Msungwite said: Cheza mbungi mtonyo uibuke kidedea Click to expand... Ndio unielimishe sasa, mbungi ni nini?