Mbunge wetu

Mbunge wetu

Kowalski

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
348
Reaction score
111
Mbunge kama huyu yupo vizuri kichwani kweli
 

Attachments

  • 1431894659382.jpg
    1431894659382.jpg
    53 KB · Views: 1,577
Mleta Mada Umenichekesha Sana, Usiku Huu Najua Asubuh Ntaulizwa Nlichokuwa Nacheka, Nikirudi Kwenye Mada Huyo Mbunge Ni Empty Set ,yaani Ni { }.
 
Mleta Mada Umenichekesha Sana, Usiku Huu Najua Asubuh Ntaulizwa Nlichokuwa Nacheka, Nikirudi Kwenye Mada Huyo Mbunge Ni Empty Set ,yaani Ni { }.

You must be a mathematician!! Empty set { } pia huitwa NULL set!!! Yaani hamna kitu humo.
 
Mr. Ndinani, In Some Extend Iam Mathematician, I Try To Compare The Brain Of That Mp With Such Type Of Set, And What I Proved Is That The Man Has Added 5lt Of Water In A Bottle And At The Same Time Empted 5lt From The Same Bottle Has Leaving The Bottle With Nothing, Such Things Are Unmeasurable But The Effects Are Measured, Therefore Those Guys And Ladies Out Of System Should Take Care On That Shy Arguments B4 Engaging In Such System.
 
Hao ndo kundi la 98% ya wabunge wa ccm wenye laana
 
Hahahaha.....dah! bora nimeshakula lunch maana ningeshiba kwa kicheko
 
Hii hotuba ni ya Mary Chatandw

Ubunge wa huyu Mh.uko vipi...??inaelekea una mgogoro maan nilimsikia Paresso akisema hakubaliani na taarifa yake kwa vile hajui ni mbunge wa Arusha au Tanga.Bila ya matusi na kashfa anayejuwa historia ya ubunge wake atueleze.Niombe tena tusitukane wala kukashifu.
 
Kuna Mh.Mkuchika akimtaka Mkosamali afute kauli yake ya kulikebehi jina la Mh.Rais wakati akijadili ofisi ya Rais.Mh. Mkosamali hakutaja jina la Mh.Kikwete kabisa,bali ametaja jina la Taasisi yaani Rais.Mwenyekiti akimtaka mkosomali afute lakini kwa hoja alizozitoa mkosamali mwenyekiti alishindwa.
 
Mbunge Kidawa Salehe> Ni Jiji gani linaongoza kwa uhalifu wa ubakaji na udhalilishaji na mikakati gani Serikali imeweka ili kupambana na uhalifu huu>> swali la kwanza la Mbunge Kidawa Hamid Salehe
Swali jingine la Mbunge Kidawa Salehe>>Suala la pili kuna taarifa kwamba baadhi ya Magereza yamekosa nguo za wafungwa.. wafungwa wanakuwa na nguo mbovu zinazoonesha miili yao, Serikali ina mkakati gani katika ili kuondokana na tatizo hili>>

Jibu la kwanza kutoka kwa Pereira Silima

>> “Jiji ambalo linaongoza katika masuala ya unyanyasaji, wahalifu ambao wako magerezani la kwanza ni Tabora wahalifu wako 307 kwenye Gereza la Uyui, Tanga wako 110 na Arusha wako 80>>

Jibu la pili ni hili

>> “Mahitaji halisi ya wafungwa ni angalau wapate jozi mbili kila mwaka, kuna tatizo kutokana na ufinyu wa Bajeti.. Kuna baadhi ya wafungwa wanavaa nguo zilizochanika ni sawa lakini hakuna mfungwa ambae anaenda uchi”>> Naibu Waziri Pereira Silima.
 
Back
Top Bottom