Mbunge wetu wa Rombo mbona kimya?

Ajirekebishe. Vinginevyo 2015 wala asifikirie kugombea.

Ajifunze kutoka kwa salakana enzi hizo akiwa cdm kwani walimweka miaka mi5 akaonyesha uzembe kama anaounyesha na hawakuona shida kumpiga chini na kama akiendelea hivi ntashauri chama kingine chochote cha upinzani wakasimamishe mgombea kule ili wasijeirudisha ccm
 
Mtu hata miaka 2 hajatimiza mshaanza kumlaumu jamani?

Lile suala la sukari aliziba mdomo na masikio kana kwamba yeye hakujielewa ana umuhim gana kwa wana Rombo wakati pale ndo shm alitakiwa kujiimarisha kisiasa
 
Kipindi cha kampeni alikuwa akitoa namba ya simu ili kukiwa na tatizo wamtaarifu sijui kama kuna mtu ashajaribu kufanya hicho kitu na namba ikapatikana ama ilikuwa danganya toto?
 
vipi yule basil mramba mna record zake za aliyotufanyia watu wa rombo??manake mramba amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 20 lakini jimbo ni la mwisho kwa umaskini kanda ya kaskazini'tumtafute mramba aeleze aliyofanya jimboni so far halafu tumpe selasini nafasi tumjudge baada ya miaka mitano

una data za maendeleo za kanda ya kaskazini zilizokupa tathmin kuwa rombo ni ya mwisho maendeleo?no research no data no right to speak
 
Hajawahi kufika Tarakea (an up coming township) kuanzia awe mbunge. Kulikoni?
 
Wasi wasi alionipa mimi ni wakati wa shida ya sukari police walikuwa wakizuilia Himo kana kwamba rombo siyo Tz ila yeye akazidi kuwa kimya, mpaka rombo wakafikia hatua ya kupandisha bendera ya kenya hapo ndipo wasiwasi wangu juu yake ukanijia na kumwona hana hazi ya kuwa Cdm chama ambacho kinasifika kuwa na wapambanaji

Ben Saanane ndiye mchochezi mkubwa huko Rombo,yeye anahusika asilimia 100 kuwachochea wazee wa Rombo kujitenga!

Hajawahi kufika Tarakea (an up coming township) kuanzia awe mbunge. Kulikoni?

Tarakea hawezi kufika kwa sababu Saanane anatumia vijana wa kule kuvuruga,hata madiwani wa CCM wanalalamika kwamba huyu kijana ana ajenda na jimbo la Rombo.Taarifa nilizonazo ni kuwa jamaa anajiandaa kufa na kupona kuhakikisha yeye anakuwa mbunge.hili bandiko lake hapa chini kaweka kimasiahara lakini najua ana maanisha.......Nina wasiwasi Rombo Damu itamwagika 2015 kwa kuwa huyu jamaa najua siasa zake ni za kutokubali kushindwa

Watu wa Rombo ni wapole na hakujawahi kuwa na kashikashi za kisiasa lakini namjua huyu dogo hata kampeni atakazopiga zitakuwa zimekaa kivita vita.Uchaguzi wa bavicha visu vilikua nje nje na kila uchaguzi anaoshiriki ni lazima kuwe na vurugu

wabunge wa Rombo, Alphonce Masikini,Pesambili,Salakana,Selasini...saanane....(kidding)
 
vipi yule basil mramba mna record zake za aliyotufanyia watu wa rombo??manake <span style="font-family: comic sans ms;"><span style="color: rgb(255, 0, 0);"><strong><em>mramba amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 20 lakini jimbo ni la mwisho kwa umaskini kanda ya kaskazini&nbsp; </em></strong></span></span>tumtafute mramba aeleze aliyofanya jimboni so far halafu tumpe selasini nafasi tumjudge baada ya miaka mitano

Director1, hivi which is better, kuwa wa mwisho kwa umaskini au wa kwanza? hebu tafakari halafu njoo tena
 
Kimbunga..............mapema mno!

Ben sema mapem ili watu wajue.inaelekea bunge la 2015 litakuwa na sura mpya nyingi.ninachoona hapa nguvu kubwa watakayokuja nayo CCM + CDM au NCCR na Ben Saanane =Na vita jimboni.Je mramba atawekwa wapi kwani bado ni mhimili katika siasa za Rombo ingawa sijui hali itakuwaje Selasin (Mwanapropaganda) + Mramba (mwanapropaganda ila mwenye kiburi)+Ben Saanane(bingwa wa propaganda na mvuto kwa akina mama na dada zetu

Nakaa mkao wa kula,hilo jimbo litazua makubwa.Jamaa amekaa kiseminari ataaminiwa sana na watu wa Rombo na hoja zenye mvuto ila kura zisipotosha najua Rombo itachafuka.Kama chadema itakuwa na madiwani wanaolingana na CCM basi naona halmashauri ya Rombo itageuka uwanja wa vita.Sina shaka na uwezo wako wa kujenga hoja ben lakini upunguze siasa za kimapambano uingie kwenye siasa za watu kama akina Zitto na mnyika na akina Membe.siasa za akina Tundu Lissu si nzuri na ni rahisi kutumbukiza taifa katika maafa

Ben anapanga safu ya watakaogombea udiwani akishirikiana na baadhi ya viongozi wa chama jimboni huko(mzee wa siasa za alliance kama alivyofanya uchaguzi wa Bavicha na kuunda makundi)
 
Nuclear,
Acha upotoshaji
Ben hakuna mapema mno katika siasa. Unatakiwa ujipange kuanzia day one.

Ni kweli lakini mkuu Kimbunga si unajua siasa inavyokua ?
 
Nuclear,
Acha upotoshaji

Ni kweli lakini mkuu Kimbunga si unajua siasa inavyokua ?

Nimepotoshaje ben? Unajua Ben tunahitaji viongozi wa wajibikaji na wewe hutoi michango kwenye thread hii ambayo najua una maslahi nayo na unatoa kauli tata.Sina shaka na uwezo wako wa kujenga hoja.We need a leadr,we need change not only Rombo but the whole nation needs change.
 
watu wa rombo walikataa pesa mbili wakachagua 30 akija mwenye jina la nyingi anachukuwa jimbo

pesa2 kawa mbunge kipindi gani na kafanya nini? Cha msingi ni kujua kinachoendelea, watanzania wamezoea wabunge wa tv na magazeti, wapo watu ka sokoine bwana, yeye unapata habari tayari ashamaliza mchezo!enzi za mwl hizo!labda na thirty yuko hivo cha msingi mtafuteni atawajibu vizuri!
 
Back
Top Bottom