Yaani kila mtu ni kambale hapo chadema.Bora wangeweka picha ya mwenyekiti. Picha ya mnyika inafanya hapo? Ama kweli babu Duni alisema kweli, "Huko kila mtu kambale".
Mustakabali wa nchi anao mama sio hao' Mazungumzo mazito ya mustakbali wa Taifa…'
sasa unalia nini wewe ?Ofisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake
Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani
Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
Kuna vichaa au wendawazimu fulani toka Chama Twawala wakiongozwa na Mwendazake waliwahi kutamba kuwa CHADEMA HAKITAFIKA 2020 maana kitakuwa kimekufa kabisa!!! Kiko wapi leo? CHADEMA IMEDHIHIRISHA NI CHAMA BORA, MAKINI NA IMARA WAKTI WOTE....!!!
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.
Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
Utopolo mtupu!!!Ofisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake
Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani
Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
wadanganye mabwegeMimi chadema ila kwa sasa saport kubwa kwa mama
Wivu wa kike huuOfisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake
Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani
Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
hakuna ofisi hapo hilo jalala tu mkiambiwa msome hamsikii.mnaweka secondary failures kwenye uongozi wa juu matokeo ndio hayo ofisi jalalaWivu wa kike huu
Bring Back Bia Yetuhakuna ofisi hapo hilo jalala tu mkiambiwa msome hamsikii.mnaweka secondary failures kwenye uongozi wa juu matokeo ndio hayo ofisi jalala
Mbunge wa zamani?
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.
Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
kuhusu niniMtoa maada anajitahidi sana
inasemekana kuna ID zimeondoka na mkubwa , unamkumbuka Mgambilwa ni mntu ?Bring Back Bia Yetu
Bring Back Magonjwa Mtambuka..
kumpa ofisi kubwa secondary school failute kama mbowe na mnyika matokeo ndio hayo wanakuwa na confidence hewa yenye ujinga kibao tofauti na wangewekwa maprofesa kama Baregu wanajua ofisi iweje.Bring Back Bia Yetu
Bring Back Magonjwa Mtambuka..