Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amtembelea Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ofisini

Hapo sio ofisini ni chumbani kwa mnyika ushahidi angalia ukutani picha iliyotundikwa ni ya kwake!! ingekuwa ya ofisi angetundika hata ya Mwenyekiti wake Mbowe akiwa kashika lile chupa lake la konyagi
 
QUOTE="Erythrocyte, post: 38855203, member: 109263"]
Tena kiko imara mno ! nimegundua kwamba Chama kikiungwa mkono na wananchi hakiwezi kufa
[/QUOTE]

Chadema kimepitia mitihani migumu mno kuliko chama chochote Cha Siasa hapa Tanzania na kufaulu,hakiwezi kufa kwa mapenzi yasiyo ya Mwenyezi Mungu.
Kila njama na kila mbinu zilikwishatumika ili kukiua kwa amri na maelekezo kutoka kwa Mtu mwenye Kauli ya Mwisho kabisa katika nchi,Tena anaepata taarifa kutoka kila pande ya nchi,Chadema hakikufa.
 
Ccm tusijidanganye na tume huru mana tukithubutu ,tutageuza miaka 20 ijayo ikiwa ccm au kwajina jingine
 
Ofisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake

Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani

Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
 
sasa unalia nini wewe ?
 
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.

Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
Kuna vichaa au wendawazimu fulani toka Chama Twawala wakiongozwa na Mwendazake waliwahi kutamba kuwa CHADEMA HAKITAFIKA 2020 maana kitakuwa kimekufa kabisa!!! Kiko wapi leo? CHADEMA IMEDHIHIRISHA NI CHAMA BORA, MAKINI NA IMARA WAKTI WOTE....!!!
 
Ofisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake

Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani

Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
Utopolo mtupu!!!
Unaweza kuwa na Ofisi ya Chama kama Ikulu na bado huwezi kuongoza Watu. CCM ya Hayati Magufuli imethibitisha hilo kwa 100%!
 
Ofisi chafu sana imejaa mikolokolo kiba utafikiri ya mshirikina mtu hapo waweza toka na mafua pia angalia kaweka bendera ya Taifa badala ya chama chake

Bendera ya Taifa huwekwa oofisi zingine zote na majumbani lakini sio za vyama vya siasa ikiwemo CCM chama tawala.Ukienda utakutana na bendera ya CCM ofisini na picha ya Mwenyekiti ukutani

Chadema hata ofisi organization hawajui sembuse nchi? hawawezi
Wivu wa kike huu
 
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.

Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
Mbunge wa zamani?
 
Bring Back Bia Yetu

Bring Back Magonjwa Mtambuka..
kumpa ofisi kubwa secondary school failute kama mbowe na mnyika matokeo ndio hayo wanakuwa na confidence hewa yenye ujinga kibao tofauti na wangewekwa maprofesa kama Baregu wanajua ofisi iweje.
 
Ofisi ya KM Wa Chama Kikuu cha Upinzani lakini iko too congested!!

CHADEMA badilikeni hadhi ya Chama na Ofisi havilandani.

Ni aibu! Mtandao wa Wafuasi na Wanachama Wenu ni Mkubwa sana fanyeni mobilization ya resources kutoka kwa Wadau Mbali mbali na muongezee na Ruzuku ili Mjenge ofisi ya hadhi yenu.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom