Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amtembelea Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ofisini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,307
2,000
kumpa ofisi kubwa secondary school failute kama mbowe na mnyika matokeo ndio hayo wanakuwa na confidence hewa yenye ujinga kibao tofauti na wangewekwa maprofesa kama Baregu wanajua ofisi iweje.
Kwi Kwi Kwi , Mmeshikwa pabaya safari hii
 

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
2,216
2,000
Chama chetu cha CHADEMA bado kipo imara pamoja na njama zote za kisiasa na zisizo cha kisiasa toka mtaa wa Lu-mamba oops! mtaa wa Lumumba wanapolia macho ya mamba hawaelewi kwanini 2020 hatukufa kama walivyotarajia.
😁😁😁 Chama kipo imara, wakati mmezidiwa akili na kina Aida. Ninyi na wale wenzenu ACT akili zenu zinafanana, ila maarifa ACT wamewazidi mbali wao wanajenga chama chao ninyi na viongozi wenu ni kubwabwaja tu mitandaoni. Shame on you saccos.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,307
2,000
😁😁😁 Chama kipo imara, wakati mmezidiwa akili na kina Aida. Ninyi na wale wenzenu ACT akili zenu zinafanana, ila maarifa ACT wamewazidi mbali wao wanajenga chama chao ninyi na viongozi wenu ni kubwabwaja tu mitandaoni. Shame on you saccos.
una akili ndogo sana !
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,758
2,000
Kuna vichaa au wendawazimu fulani toka Chama Twawala wakiongozwa na Mwendazake waliwahi kutamba kuwa CHADEMA HAKITAFIKA 2020 maana kitakuwa kimekufa kabisa!!! Kiko wapi leo? CHADEMA IMEDHIHIRISHA NI CHAMA BORA, MAKINI NA IMARA WAKTI WOTE....!!!
Shuhudia muujiza mkuu wa Mungu, huyo aliyekuwa akikiombea kufa chama hicho kabla ya 2020.

Yeye ndiye katangulia mbele ya haki, kabla hajashuhudia chama hicho cha Chadema kikifa!
 

kuu la Mataga

Member
Apr 23, 2021
43
125
j

Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.

Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
Jambo jema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom