real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mbunge wa viti maalum CCM Jacquiline Ngonyani ametaka mbunge wa Tarime John Heche achukuliwe hatua kwa kuhamasisha vurugu ya wananchi kwenda kuvamia migodi
Mbunge huyo amesema rais Magufuli hakusema watu wakavamie mgodi
Mbunge John Heche amemjibu mbunge huyo na kusema wananchi wa Tarime waliona kwenye Tv rais alivyokuwa akiizungumzia kampuni ya Acacia kutokana na ripoti ya uchunguzi uliofanyika na yeye amewaambia wananchi wake kuchukua kuzuia mwizi na kama anafikiri yeye anaogopa kuunganishwa basi mbunge huyo akamuunganishe