Mbunge wa viti maalum ataka John Heche akamtwe kwa kuhamasisha vurugu

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,241
2,000
Mbunge wa viti maalum CCM Jacquiline Ngonyani ametaka mbunge wa Tarime John Heche achukuliwe hatua kwa kuhamasisha vurugu ya wananchi kwenda kuvamia migodi
Mbunge huyo amesema rais Magufuli hakusema watu wakavamie mgodi

Mbunge John Heche amemjibu mbunge huyo na kusema wananchi wa Tarime waliona kwenye Tv rais alivyokuwa akiizungumzia kampuni ya Acacia kutokana na ripoti ya uchunguzi uliofanyika na yeye amewaambia wananchi wake kuchukua kuzuia mwizi na kama anafikiri yeye anaogopa kuunganishwa basi mbunge huyo akamuunganishe

 

swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,658
2,000
Rais was ccm alishasema kuwa hiyokampuni ni wezi sasa wewe unataka watu wa tarime wafanye nini


Swissme
 

mwanaludewa

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
763
1,000
Halafu kauli zake si za kibunge anaendeleleza ngonjera zilezile za 1997!Imagine Huyo mama aungane na Ulega,Milinga,Lusinde halafu wafanye mazungumzo na CEO wa Barrick.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom