Mbunge wa Ukonga hatukuoni jimboni, wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu

Daraja la Mongo la Ndege na Ulongoni hapa Mto Msimbazi kuvukia Gongo la Mboto naona spidi yake ya ujenzi hairidhishi....
Panahitajika msukumo sana.
 
Kwa kweli serikali iangalie uwezekano wa kutoa nishani na tuzo maalum kwa wananchi wake wanaoishi maisha magumu kama hawa wanavyovumilia miundinbinu migumu.
 
Endeleeni hivyohivyo kutaabika, maana ikijengwa Barbara mnasema hamtaki Maendeleo ya vitu.
 
Tumia common sense. Huyo mbuge ni alichaguliwa na wananchi au aliteuliwa na mtu mmoja? Kama aliteuliwa na mtu mmoja aje kwenu kufanya nini wakati hakuchaguliwa na ninyi. Yuko busy na aliyemfikisha hapo alipo tulieni hadi 2025 labda mtapewa nafasi ya kuchagua.
 
Back
Top Bottom