Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

Hata kuongelea bungeni hakuna
Siyo kila kitu ni cha bungeni, hata kwenye vikao vya baraza la madiwani anatakiwa ashiriki kushikiza hoja zake, tatizo vikao vya madiwani poshi ndogo yamekomaa Dodoma tu. Shenzi kabisa.
 
nashukuru sana kwa ushauri...naufanyia kazi..ila msalimu waitara kazi imemshinda...ukonga sio tarime...mjini lazima uwe na pesa ili uongoze ukitegemea kila kitu serikali utakwama....yameshamkuta

Kumbe ulitaka pesa atoe mfukoni mwake? Uliza zile Trilioni 1.5 zimekwenda wapi kwanza
 
Mimi ni mmoja kati ya waliompa kura huyu jamaa.

Sababu kubwa ya kumpigia kura ni kwakua yupo upinzani. Naamini wapinzani ndo wenye kuisimamia na kuishauri serikali, ipasavyo.

Mambo ya kujenga barabara sio kazi ya mbunge. Pia serikali yetu imekua ni serikali ya kubagua maeneo kwenye kupeleka maendeleo. Kwasababu inajua kabisa watanzania ni mambumbumbu hawajui kazi ya mbunge. Yaani wanadhani mbunge ndo mwenye kujenga barabara. Hufanya maeneo ambayo kuna wabunge wa chama tawala ili kuwaaminisha kuwa ndio wenye uwezo.

Mbunge kazi yake ni kuisimamia na kuishauri serikali, kutunga sheria na kukuwakilisha wewe mwananchi kwa changamoto unazozipata
 
Habarini wanajamvi.....

Ilikuwa mwaka 2015 wakati mbio za uchaguzi zilipoanza na kipenga kupulizwa nikiwa mmoja wa vijana tusio na upande nikisubiri sera za wagombea kuzisikia ingawa kwa ccm sikutaka kabisa kumsikia mayor slaa kwahiyo nikawa na shauku ya kumuona mkombozi mpya wa jimbo la ukonga,.

Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.

Miaka michache iliyopita aliepata kuwa mbunge wa ukonga EUGEN Mwaiposa ambaye kwasasa ni marehemu tuliwahi anzisha vuguvugu la kumuondoa tulipodai barabara ya kutoka mombasa kuja moshi bar nakumbuka vikao vilianzia masika bar badae meseji zikapita tukaanzisha vikao vya watu ukonga pale uwanjani kwa temba hakika muitikio ulikuwa mkubwa hadi ukamfanya mwaiposa Eugen akiwa na mayor kuja kuzungumza na kuanza harakati za ujenzi wa barabara.

Nimeanza na historia ya nyuma kidogo ili ujue tulipotokea, tulipo na tuendapo. CHACHA WAITARA umepokea jimbo barabara zikiwa njema na za kutukuka, bodaboda wakiwa na furaha kidogo mombasa,banabana,gongo la mboto n.k.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.

KIKAO KILICHOKAA UWANJA MPANA RELINI CHA WANYWAJI JUMAMOSI.

KUHUSU BARABARA.

KUANZIA NJIA PANDA-BANANA,BANANA-KITUNDA,MOMBASA-MOSHIBAR-MKOLEMBA-DIWANI,GONGO LA MBOTO-MAJOHE N.K. BARABARA KWA UJUMLA NI MBOVU SANA NA HAZITAMANIKI, MH.MBUNGE UPO DODOMA UKISIMAMA KUONGEA UNAONGELEA SIASA ZA CCM NA CHADEMA BADALA YA KUWASILISHA MALALAMIKO HAYO....Hii barabara usipokuwa makini hivi karibuni yatatokea kama ya mwaiposa na uzuri wa huku ukonga hatuna masihara.

SISI BODABODA NA BAJAJI..

Tulikupigania sana na tulifanya kampeni nyumba kwa nyumba,abiria wote tuliwaambia wakupatie kura mh. ila kinachoendelea ni usanii mtupu hasa kwa tunayofanyiwa..MH.WAITARA umetusahau na ututhamini tena, tunapigwa fines zisizo na msingi, diwani wako shehe mwaipopo nae sauti haisikiki tena kweli mpe mtu uongozi utajua tabia yake.

Tuliwahi muita diwani atusaidia kutengeneza kajibarabara pale mombasa ili bajaji na pikipiki zipite salama na kuondoa foleni barabara kuu ahadi hiyo imekuwa haitekelezeki na bado miaka miwili..mwambie mwaipopo tutamshangaza...

Hatuna amani ya kufanya biashara mombasa,gongo la mboto na hata banana sababu ya hofu ya fines zisizo na maana..

Yapo mengi ila kwa leo nikuachie na nukuu ya mwalimu nyerere

Kazi ya kuchagua viongozi ni kazi ya wanachama wananchi; kwamba jambo hili ni kubwa sana. Haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au binamu au ana sauti au sura nzuri. Wala haifai kuacha kumchagua mtu kuwa kiongozi kwa sababu kama hizo. Jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeweza kazi. Hatuna budi tutii kanuni hii katika kuajiri wafanya kazi katika TANU au serikalini. Hawa pia hawana budi wachaguliwe kwa sababu wanaiweza kazi wanayoajiriwa kufanya, na ni watu wenye tabia nzuri.

Kujuana na ukabila vilituponza tukachagua uongozi usiotumikia watu, Endelea kula bata dodoma, bishana juu ya uccm na uchadema, siku zaja.....

Ni mimi mwanywaji wa pombe masika bar, Luko bar, na uwanja mpana(relini),mzambarauni, na big jons.
Umezungumza vyema, baadae sogea panda za Big Johns upooze koo
 
Wewe siyo mzima, sasa utapata vipi ubunge bila watu kukaa vikao vya kupanga mikakati? Na ni vikao hivyohivyo vinatumika kukung'owa.

Kura za wananchi Ndio zinampa Ubunge, nyie bakini na vikao vyenu vya usiku kucha bado Waitara atachaguliwa kuendelea kutawala hilo Jimbo
 
mbunge hatoi pesa mfukoni, yeye hushiriki kudadavua maeneo yenye huitaji kwa kushirikiana na serikali. Serikali ndio haikutoa pesa na hata inapotoa hutoa kidogo na kwa kuchelewa, na sio kwa waitara tu hata maeneo mengi ya ccm. Msisitizo ni kwa serikali kutoa fedha kwa wakati ili miradi ya barabara ifanyike kama plan ilivopangwa. Sasa ikiwa hawana pesa ndo matokeo huwa tofauti. mbunge Hana hela za miradi
 
Habarini wanajamvi.....

Ilikuwa mwaka 2015 wakati mbio za uchaguzi zilipoanza na kipenga kupulizwa nikiwa mmoja wa vijana tusio na upande nikisubiri sera za wagombea kuzisikia ingawa kwa ccm sikutaka kabisa kumsikia mayor slaa kwahiyo nikawa na shauku ya kumuona mkombozi mpya wa jimbo la ukonga,.

Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.

Miaka michache iliyopita aliepata kuwa mbunge wa ukonga EUGEN Mwaiposa ambaye kwasasa ni marehemu tuliwahi anzisha vuguvugu la kumuondoa tulipodai barabara ya kutoka mombasa kuja moshi bar nakumbuka vikao vilianzia masika bar badae meseji zikapita tukaanzisha vikao vya watu ukonga pale uwanjani kwa temba hakika muitikio ulikuwa mkubwa hadi ukamfanya mwaiposa Eugen akiwa na mayor kuja kuzungumza na kuanza harakati za ujenzi wa barabara.

Nimeanza na historia ya nyuma kidogo ili ujue tulipotokea, tulipo na tuendapo. CHACHA WAITARA umepokea jimbo barabara zikiwa njema na za kutukuka, bodaboda wakiwa na furaha kidogo mombasa,banabana,gongo la mboto n.k.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.

KIKAO KILICHOKAA UWANJA MPANA RELINI CHA WANYWAJI JUMAMOSI.

KUHUSU BARABARA.

KUANZIA NJIA PANDA-BANANA,BANANA-KITUNDA,MOMBASA-MOSHIBAR-MKOLEMBA-DIWANI,GONGO LA MBOTO-MAJOHE N.K. BARABARA KWA UJUMLA NI MBOVU SANA NA HAZITAMANIKI, MH.MBUNGE UPO DODOMA UKISIMAMA KUONGEA UNAONGELEA SIASA ZA CCM NA CHADEMA BADALA YA KUWASILISHA MALALAMIKO HAYO....Hii barabara usipokuwa makini hivi karibuni yatatokea kama ya mwaiposa na uzuri wa huku ukonga hatuna masihara.

SISI BODABODA NA BAJAJI..

Tulikupigania sana na tulifanya kampeni nyumba kwa nyumba,abiria wote tuliwaambia wakupatie kura mh. ila kinachoendelea ni usanii mtupu hasa kwa tunayofanyiwa..MH.WAITARA umetusahau na ututhamini tena, tunapigwa fines zisizo na msingi, diwani wako shehe mwaipopo nae sauti haisikiki tena kweli mpe mtu uongozi utajua tabia yake.

Tuliwahi muita diwani atusaidia kutengeneza kajibarabara pale mombasa ili bajaji na pikipiki zipite salama na kuondoa foleni barabara kuu ahadi hiyo imekuwa haitekelezeki na bado miaka miwili..mwambie mwaipopo tutamshangaza...

Hatuna amani ya kufanya biashara mombasa,gongo la mboto na hata banana sababu ya hofu ya fines zisizo na maana..

Yapo mengi ila kwa leo nikuachie na nukuu ya mwalimu nyerere

Kazi ya kuchagua viongozi ni kazi ya wanachama wananchi; kwamba jambo hili ni kubwa sana. Haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au binamu au ana sauti au sura nzuri. Wala haifai kuacha kumchagua mtu kuwa kiongozi kwa sababu kama hizo. Jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeweza kazi. Hatuna budi tutii kanuni hii katika kuajiri wafanya kazi katika TANU au serikalini. Hawa pia hawana budi wachaguliwe kwa sababu wanaiweza kazi wanayoajiriwa kufanya, na ni watu wenye tabia nzuri.

Kujuana na ukabila vilituponza tukachagua uongozi usiotumikia watu, Endelea kula bata dodoma, bishana juu ya uccm na uchadema, siku zaja.....

Ni mimi mwanywaji wa pombe masika bar, Luko bar, na uwanja mpana(relini),mzambarauni, na big jons.
Kwani wabunge wanajenga barabara!? Hamna madiwani wawasilishe hoja hiyo halmashauri ili DED ambae ndio serikali waiweke kwenye budget? Bungeni mbona kawasilisha yote muhimu killing ana na budget zinavyowasilishwa.!!!? CCM wanajenga uhasama na wapinzani na kuwaona hawastahili ? Barabara kweli zitajengwa? Ila kwa vile umesema ni wa kwenye maeneo ya mataptap na vikao mnafanyia huko huko basi chukua hizo kura za walevi wenzako mumpe ambae atajenga. Nonsense.
 
nashukuru sana kwa ushauri...naufanyia kazi..ila msalimu waitara kazi imemshinda...ukonga sio tarime...mjini lazima uwe na pesa ili uongoze ukitegemea kila kitu serikali utakwama....yameshamkuta

..sidhani kama Waitara ni kati ya ma-radical wa Chadema wenye kawaida ya kutoa "mapovu" bungeni.

..ushauri wangu ni nyinyi wapiga kura kukaa na mbunge wenu na kutafuta namna ya kupata fedha za ujenzi wa barabara uliyoitaja.

..umeeleza kwamba mbunge wenu "hana fedha" na anashindwa kwasababu anategemea serekali. Katika mazingira hayo, nyinyi ambao mnajua vyanzo mbadala vya fedha vilipo, inabidi mumshirikishe mbunge wenu ili aweze kufuatilia.

..Tanzania haina sheria ya wapiga kura kumfuta kazi mbunge kabla ya miaka 5. Hivyo mnapaswa kufanya kazi na Waitara, huku mkiendelea na mipango ya kumuondoa 2020.
 
Swala la Barabara limerudishwa serikali kuu, halmadhauri hazina mafungu tena ya kutengeneza barabar
 
katika wabunge wa chadema mbunge nisiyemuelewa ni uyu waitara...yn sijui walifikiria nn kumteua agombee....kwanza bila wakurya kumchimba beat kipindi kile cha uchaguzi alikua analiuza jimbo kwa jerry..
 
Nakushukur mh Waitara mana sasa kutoka Mombasa had moshi bar ni lami tu..ulikua mvua ikinyesha nauli no had 2000 ila kwa mvua kubwa za juz nauli500 tu..unabarikiwe baba angu..waache waongee
 
Iko wapi 1.5 Trilion?siyo mnakuja hapa mnapiga kelele wakato viongizi wa fisiem ndiyo wapigaji wakubwa.
 
Habarini wanajamvi.....

Ilikuwa mwaka 2015 wakati mbio za uchaguzi zilipoanza na kipenga kupulizwa nikiwa mmoja wa vijana tusio na upande nikisubiri sera za wagombea kuzisikia ingawa kwa ccm sikutaka kabisa kumsikia mayor slaa kwahiyo nikawa na shauku ya kumuona mkombozi mpya wa jimbo la ukonga,.

Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.

Miaka michache iliyopita aliepata kuwa mbunge wa ukonga EUGEN Mwaiposa ambaye kwasasa ni marehemu tuliwahi anzisha vuguvugu la kumuondoa tulipodai barabara ya kutoka mombasa kuja moshi bar nakumbuka vikao vilianzia masika bar badae meseji zikapita tukaanzisha vikao vya watu ukonga pale uwanjani kwa temba hakika muitikio ulikuwa mkubwa hadi ukamfanya mwaiposa Eugen akiwa na mayor kuja kuzungumza na kuanza harakati za ujenzi wa barabara.

Nimeanza na historia ya nyuma kidogo ili ujue tulipotokea, tulipo na tuendapo. CHACHA WAITARA umepokea jimbo barabara zikiwa njema na za kutukuka, bodaboda wakiwa na furaha kidogo mombasa,banabana,gongo la mboto n.k.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.

KIKAO KILICHOKAA UWANJA MPANA RELINI CHA WANYWAJI JUMAMOSI.

KUHUSU BARABARA.

KUANZIA NJIA PANDA-BANANA,BANANA-KITUNDA,MOMBASA-MOSHIBAR-MKOLEMBA-DIWANI,GONGO LA MBOTO-MAJOHE N.K. BARABARA KWA UJUMLA NI MBOVU SANA NA HAZITAMANIKI, MH.MBUNGE UPO DODOMA UKISIMAMA KUONGEA UNAONGELEA SIASA ZA CCM NA CHADEMA BADALA YA KUWASILISHA MALALAMIKO HAYO....Hii barabara usipokuwa makini hivi karibuni yatatokea kama ya mwaiposa na uzuri wa huku ukonga hatuna masihara.

SISI BODABODA NA BAJAJI..

Tulikupigania sana na tulifanya kampeni nyumba kwa nyumba,abiria wote tuliwaambia wakupatie kura mh. ila kinachoendelea ni usanii mtupu hasa kwa tunayofanyiwa..MH.WAITARA umetusahau na ututhamini tena, tunapigwa fines zisizo na msingi, diwani wako shehe mwaipopo nae sauti haisikiki tena kweli mpe mtu uongozi utajua tabia yake.

Tuliwahi muita diwani atusaidia kutengeneza kajibarabara pale mombasa ili bajaji na pikipiki zipite salama na kuondoa foleni barabara kuu ahadi hiyo imekuwa haitekelezeki na bado miaka miwili..mwambie mwaipopo tutamshangaza...

Hatuna amani ya kufanya biashara mombasa,gongo la mboto na hata banana sababu ya hofu ya fines zisizo na maana..

Yapo mengi ila kwa leo nikuachie na nukuu ya mwalimu nyerere

Kazi ya kuchagua viongozi ni kazi ya wanachama wananchi; kwamba jambo hili ni kubwa sana. Haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au binamu au ana sauti au sura nzuri. Wala haifai kuacha kumchagua mtu kuwa kiongozi kwa sababu kama hizo. Jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeweza kazi. Hatuna budi tutii kanuni hii katika kuajiri wafanya kazi katika TANU au serikalini. Hawa pia hawana budi wachaguliwe kwa sababu wanaiweza kazi wanayoajiriwa kufanya, na ni watu wenye tabia nzuri.

Kujuana na ukabila vilituponza tukachagua uongozi usiotumikia watu, Endelea kula bata dodoma, bishana juu ya uccm na uchadema, siku zaja.....

Ni mimi mwanywaji wa pombe masika bar, Luko bar, na uwanja mpana(relini),mzambarauni, na big jons.
Acheni kupoteza muda kwenye kubeti, mechi za ulaya na bingo, serikali iliamua kuwa sasa barabara hazitajengwa na jiji hivyo ilianzisha mamlaka maalumu ya ujenzi wa barabara hivyo kumlaumu mbunge ni chuki zisizo na msingi, ilaumu serikali na chama chako.
 
Huyu jamaa nilimkuta sehemu aloo ni mlevi balaa halafu ana kauli chafu sana,
Nataka nipige bei plot yangu maeneo ya huko maana sio siri barabara hazipitiki kweli full kunasa.

Ni katika wabunge ambao 2020 bunge wataliona kwenye Tv tu.
 
Habarini wanajamvi.....

Ilikuwa mwaka 2015 wakati mbio za uchaguzi zilipoanza na kipenga kupulizwa nikiwa mmoja wa vijana tusio na upande nikisubiri sera za wagombea kuzisikia ingawa kwa ccm sikutaka kabisa kumsikia mayor slaa kwahiyo nikawa na shauku ya kumuona mkombozi mpya wa jimbo la ukonga,.

Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.

Miaka michache iliyopita aliepata kuwa mbunge wa ukonga EUGEN Mwaiposa ambaye kwasasa ni marehemu tuliwahi anzisha vuguvugu la kumuondoa tulipodai barabara ya kutoka mombasa kuja moshi bar nakumbuka vikao vilianzia masika bar badae meseji zikapita tukaanzisha vikao vya watu ukonga pale uwanjani kwa temba hakika muitikio ulikuwa mkubwa hadi ukamfanya mwaiposa Eugen akiwa na mayor kuja kuzungumza na kuanza harakati za ujenzi wa barabara.

Nimeanza na historia ya nyuma kidogo ili ujue tulipotokea, tulipo na tuendapo. CHACHA WAITARA umepokea jimbo barabara zikiwa njema na za kutukuka, bodaboda wakiwa na furaha kidogo mombasa,banabana,gongo la mboto n.k.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.

KIKAO KILICHOKAA UWANJA MPANA RELINI CHA WANYWAJI JUMAMOSI.

KUHUSU BARABARA.

KUANZIA NJIA PANDA-BANANA,BANANA-KITUNDA,MOMBASA-MOSHIBAR-MKOLEMBA-DIWANI,GONGO LA MBOTO-MAJOHE N.K. BARABARA KWA UJUMLA NI MBOVU SANA NA HAZITAMANIKI, MH.MBUNGE UPO DODOMA UKISIMAMA KUONGEA UNAONGELEA SIASA ZA CCM NA CHADEMA BADALA YA KUWASILISHA MALALAMIKO HAYO....Hii barabara usipokuwa makini hivi karibuni yatatokea kama ya mwaiposa na uzuri wa huku ukonga hatuna masihara.

SISI BODABODA NA BAJAJI..

Tulikupigania sana na tulifanya kampeni nyumba kwa nyumba,abiria wote tuliwaambia wakupatie kura mh. ila kinachoendelea ni usanii mtupu hasa kwa tunayofanyiwa..MH.WAITARA umetusahau na ututhamini tena, tunapigwa fines zisizo na msingi, diwani wako shehe mwaipopo nae sauti haisikiki tena kweli mpe mtu uongozi utajua tabia yake.

Tuliwahi muita diwani atusaidia kutengeneza kajibarabara pale mombasa ili bajaji na pikipiki zipite salama na kuondoa foleni barabara kuu ahadi hiyo imekuwa haitekelezeki na bado miaka miwili..mwambie mwaipopo tutamshangaza...

Hatuna amani ya kufanya biashara mombasa,gongo la mboto na hata banana sababu ya hofu ya fines zisizo na maana..

Yapo mengi ila kwa leo nikuachie na nukuu ya mwalimu nyerere

Kazi ya kuchagua viongozi ni kazi ya wanachama wananchi; kwamba jambo hili ni kubwa sana. Haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au binamu au ana sauti au sura nzuri. Wala haifai kuacha kumchagua mtu kuwa kiongozi kwa sababu kama hizo. Jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeweza kazi. Hatuna budi tutii kanuni hii katika kuajiri wafanya kazi katika TANU au serikalini. Hawa pia hawana budi wachaguliwe kwa sababu wanaiweza kazi wanayoajiriwa kufanya, na ni watu wenye tabia nzuri.

Kujuana na ukabila vilituponza tukachagua uongozi usiotumikia watu, Endelea kula bata dodoma, bishana juu ya uccm na uchadema, siku zaja.....

Ni mimi mwanywaji wa pombe masika bar, Luko bar, na uwanja mpana(relini),mzambarauni, na big jons.
NAAMINI wewe utakuwa m CCM damu ingawa unajidai hujali chama unataka maendeleo .. Hujui kuwa serikali ya ccm haitoi pesa katika majimbo ya wabunge wa upinzani?!?!

Na kinachotokea ndio watu kama nyie kwa kujua au kutojua mnajilalamisha ili uchaguzi mwingine wakose kuchaguliwa kwa madai kuwa hawafanyi kazi...

Mfano mzuri ni Jimbo la kawe serikali inahakikisha inatia fitina ili uchaguzi ujao ccm ipate ushindi NIAMINI MIMI ccm ikichukua jimbo tu siku ya pili barabara zitaanza kujengwa hata ikibidi kuweka lami kabisa NA kwa kuwa wananchi wamelalia MASIKIO wataamka na kuanza kushangilia kuwa mbunge mpya anafanya kazi .

Poor Tanzanian
 
Back
Top Bottom