Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
...mama zenu. Mbona mnatuchanganya. Wekeni vitu wana jamvi tuvione. Acheni kujiumauma. Uoga wako ndio upumbavu wako.
 
...mama zenu. Mbona mnatuchanganya. Wekeni vitu wana jamvi tuvione. Acheni kujiumauma. Uoga wako ndio upumbavu wako.

Sasa matusi ya nini.

Watu wenginee bhanaa...
 
...mama zenu. Mbona mnatuchanganya. Wekeni vitu wana jamvi tuvione. Acheni kujiumauma. Uoga wako ndio upumbavu wako.


Tukila ban tutakosa kuingia humu mkuu, na na tutakonda kama mgonjwa wa ukimwi aliyekatisha doz..
 
Hizi sasa ni za aibu kwa mtu wa wadhifa na umri ule. Eeh Mungu tuepushe na dhambi na aibu kama hizi. Mbona moto wa milele unatuita?
 
Tupieni huo utamu wa wenye maisha bora ili sisi wenye bora maisha tupunguze machungu
 
Mungu wangu........!!!
Tunaeleka wapi jamani???? Yani nimechoka
 
Wanaweka ban ili uovu wa hao viongoz usijulikane ila mwisho wa ubaya ni aibu pia sishangai sana maana hata roma aliisha imba hii ndo Tanzania
 
Tunajua kuwa wanafanya na wote ni walewale tu, lakini wakumbuke kuwa waangalifu maana wao ni watu wanao draw attention sana kwenye jamii wajue kuwa wana maadui kisiasa, aghrrrrr jaman waheshimika wanashusha personality zao sana!
 
Hii nashindwa kuelewa wana jamvi nini? Maamuzi yao au wanategeshewa Camera?

Naogopa Ban kuzitupia hizo picha...

Wewe Ni FA.la, mpuuzi #$%@dg, hauna akili, Una kihelehele, unapenda kupata attention kwa kitu ambacho huna, chukua matusi Saba ya nguoni yakakusitiri....

Huwezi kuleta habari ya kusisimua namna hii bila picha. David Cameron mkubwa weee, Didas Masa.buri wee, sengerema weee. Weka picha hapa tufaidi acha upuuzi. Umeanzisha Uzi WA nini sasa alaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom