Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
Hii nashindwa kuelewa wana jamvi nini? Maamuzi yao au wanategeshewa Camera?

Naogopa Ban kuzitupia hizo picha...

Acha utoto si lazima CDM wakifanya mabaya basi na nyie CCM mnatafuta ubaya kufanya leveling ni ujinga,subiri kwanzaa hii habari ya mjini imalizike ndiyo uje na habari yako ya Mheshimiwa Machemli mbunge wa Ukerewe
 
Tupia hizo picha ili wakome uhuni&umalaya wao tumechoka viongozi wa namna hiyo
 
Acha utoto si lazima CDM wakifanya mabaya basi na nyie CCM mnatafuta ubaya kufanya leveling ni ujinga,subiri kwanzaa hii habari ya mjini imalizike ndiyo uje na habari yako ya Mheshimiwa Machemli mbunge wa Ukerewe

Mkuu umekosea kuniQuote nn? Mbona tofauti na nilichokieleza?
 
mwenye hizo picha nitumie kwenye PM nijitoe mhanga
 
Mtt ana mpododo!!!! Ila duuh cjui nan anawategeshea wenzie hivi! Ben saanane uko wap maana za Komba ulizishadadia mkuu!

Acha tu mkuu mie hadi suruali imekua njiwa ghafla. Mtoto km yule taratiiiiibu km futari vile.
 
Meiona Tatiana lakin Ban.... hizi za leo cio mchezo cio kama zle za Kombaaaaa

Nimeuliza ban ya muda gani? Nataka kuziweka ili watu washuhudie yaliyo gizani ya wala kodi zetu....aaaagh
 
Acha tu mkuu mie hadi suruali imekua njiwa ghafla. Mtoto km yule taratiiiiibu km futari vile.

Haaaaah! Wanatulia Dada zetu sana hawa kwa ujira wa kuku wa Chako ni Chako na Ofa za Dodoma hoteli ...
 
Bora tena Komba amejisitili, huyu wa ukerewe mwenye jina la la kioo cha kwenye taa ya mafuta na karabai
 
kitu kizito.hilo dude lina mke kweli?linafanya nini mjengoni?
 
now complete...
attachment.php
 
Attachments

  • bjb-stupidity01.jpg
    bjb-stupidity01.jpg
    37.9 KB · Views: 1,178
  • bjb-stupidity01.jpg
    bjb-stupidity01.jpg
    37.8 KB · Views: 2,417
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom