Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.

Duh Taifa Starz
 
Hivyo tabia hii vyombo vya serikali vimenyamaza mpaka siku adhalilishwe mtu mkubwa kabisa wa nchi hii kama walivifanya ze utamu ndo wataamka. Lile tangazo la TCRA la mrisho mpoto mbona halifanyiwi kazi!
 
Ukipata ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
 
Hivyo tabia hii vyombo vya serikali vimenyamaza mpaka siku adhalilishwe mtu mkubwa kabisa wa nchi hii kama walivifanya ze utamu ndo wataamka. Lile tangazo la TCRA la mrisho mpoto mbona halifanyiwi kazi!

Tatizo viongozi wenyewe hawajiheshimu..hawana adabu...hiyo ndo haki yao...wajiheshimu tutawaheshimu...na wao km wangekua na akili timamu wasingejipiga picha...tutawarusha tu mitandaonI...wanabeba changudoa waziwazi
 
Mmhhh hii list yako km feki...watoto wa mama salma mbona siwaoni
 
Tatizo viongozi wenyewe hawajiheshimu..hawana adabu...hiyo ndo haki yao...wajiheshimu tutawaheshimu...na wao km wangekua na akili timamu wasingejipiga picha...tutawarusha tu mitandaonI...wanabeba changudoa waziwazi

Wewe hujawahi kuchepuka? Tabia ikishamiri siku hata wewe utajikuta facebook in a photoshoped images. Ni mbaya sana, ni jambo la kukemewa.
 
Sawa ikemewe sikatai..ila ombi langu wajiheshimu..wafanye mambo yao kwa siri...sijawahi kuchepuka
 
Mwalusembe hahahaha Jk kiboko mpk amekopa majina aisee
 
Hapa ni MACHEMULI AMLIPA KOMBA, acha kututoa nje ya mada ...
 
Ukitaka kujua Zao la uasherati/Uzinzi wao tembelea vituo vya OVC huko kuna watoto hadi wa maprofesa wa universities. nashauri hii tabia ya kuanika maisha binafsi ya viongozi iachwe.
 
Hawa waheshimiwa wetu ni aibu tupu jamani.
 
jamani hapa sio ndio unapotakiwa kuweka mambo yote wazi...just kidng guyz maadili lazima yafatwe..
 
Ya Komba iende shule mara 800 ndo itaikaribia ya Mbunge wa Ukerewe. Mh amefaidi kweli mwe!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…