Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
Ingia google.....andika machemli zitakuja izo options...utaziona tu!
 
hahahah..hamna mchongo wowote wa maana..ni picha za watu wanafanya matusi tu!
 
aisee nimeshindwa la kusema. jamani hii ni kweli au kuna uhuni umefanywa hapaa?
 
wakubwa wanakulala mpaka ndogo aisee afu hadharini hii ni nchi au pango la shetani,mwingine kibamia mwili umeja genye za maziwa afu wana wake Zao,,,,,hii nchi kuendelea ni NDOTO

Ha ha ha ha eti Kibamia na nyege za maziwa. Mkuu umenifurahisha sana ningekugongea like
 
mama mongella jimbo lako la ukerewe liliangukia nyuma ya kabati kaliokote sasa, ule umeme ulioutoa kisorya hadi murutunguru na nansio upo na kaka yako muhongo kaongezea kidogo.
 
Mkuu una ujasiri sn naona wengi wameshindwa kupost hiz pics hapa na badala yake kuleta blabla nying lakn ww umejifunga mabomu i hope una ID za kutosha


Mwenyewe akiziona si mwili utazizima? Ammaa kweli!!

Ee Mungu naomba uwaadabishe hawa kwa kuhujumu fedha za walipakodi masikini, watoto hawana madawati mashuleni, wagonjwa wanakosa huduma kwenye mahospitali wakati wao wanachukua Tshs 300,000.00 kwa siku na kuzidumbua na wanawake.

Kamwe sitamwamini mwanasiasa, sijui wanasikia raha gani wakati raia wanataabika huku fedha zikitumiwa kwa anasa, anyway naamini haya yana mwisho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom