Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akifanya majukumu ya Jimbo

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Mhe Saed kubenea akiwa jimbo la kibamba akipiga kazi aliyoagizwa na Wananchi WA eneo hilo,eneo la SUCA nyuma ya stand kuu..

MH. baada yakuondolewa bungeni amerudi Jimboni na kuleta kampuni toka ISRAEL. ambayo inajenga barabara kipande kutoka SUCA kilichopo jimboni kwa JOHN MNYIKA mpaka GOLANI ambapo ni jimboni kwake.... MH. KUBENEA.

NILIKUWA NAOMBA MNO WABUNGE WOTE WA UKAWA WAPEWE ADHABU ILI TUPIGE KAZI SASA MAJIMBONI KWETU MAANA HUU NDIO MUDA WENYEWE MANA KAMA MIDOMO WAMEZIBA, NINAJUA WATAHAMIA KWENYE MAJIMBO YENU KUWEKA VIKWAZO.

Kazi inafanyika kwa Ushirikiano Mkubwa WA Wabunge hao vijana chino ya chama chao.

Mungu awape hekima kuliko Za akina Suleiman ili Mtende kwa Uadilifu na weledi.
 
"MH. baada yakuondolewa bungeni amerudi Jimboni na kuleta kampuni toka ISRAEL."
kama ni yeye ndie aliyeileta kwa gharama zake tumshukuru kwa hilo kwa kweli kwa kutujali wananchi..............
 
Acheni kiki za uwongo hata zungu wa ilala anaweza kupiga picha kwenye ujenzi unaoendelea Tazara akasema ni yeye amewaleta.
 
Yaani hiyo picha haionyeshi kama yupo kazin ila alienda kutwanga photo! Hadi ameweka pozi la mikono mfukoni!!
 
Yani mtu kaweka mikono mfukoni tena mifuko ya nyuma wewe unasema anapiga kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…