Mbunge wa Tarime Mjini, Easter Matiko aonesha nyumba yake jijini Dar es Salaam

ccccc watu kwa kudukua ni hatari
 
Salum Mwalim ana hatari, anazaa na mke wa mtu, kwa hiyo Salum anasubiri babu afe arithi mali .......Ndio maana mshkaji hataki kuoa anamsikilizia mke wa mtu
Aiseee Mkuu


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Huyu dem asingekuja kwenye public limelight namna hii.....kweli mm binafsi baada ya kuona ili andiko heshma yangu kwake imepungua.....infact hata wapiga kura hawapendi....unapoanza kujipambanua kwa mali.....
Sio yeye mkuu ni vyombo vyetu vya habari kuwa na program ambazo zinawatembelea watu maarufu katika nyanja za siasa, biashara, sanaa n.k kujua mbali na siasa ama sanaa kuna issue gani zingine nyuma ya pazia wanafanya na je majukumu ya kifamilia wanayatekelezaji huku wakiwa wamebanwa na majukumu mengine ya kitaifa. (lengo kuwaandaa kisaikolojia waleambao ni underground pindi watakapofika level flani)

Sasa wananzengo huangalia issue ya nyumba badala ya contents ya kile kilichozungumzwa yaani ni sawa na Binti mwenye makalio makubwa amesimama kwenye mlango mzuri ambao fundi anatangaza anaweza kuuchonga lakini watu badala ya kuangalia mlango wao wanaangalia makalio

Check hiyo clip mkuu ubadilike mtazamo na KURUDISHA HESHIMA YAKO KWAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…