Mbunge wa Tarime Mjini, Easter Matiko aonesha nyumba yake jijini Dar es Salaam

Diason David

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,580
1,995
Kaolewa na babu fulani ana mapene hatari, ila kazaa watoto wawili na Salum Mwalimu wa CHADEMA. Sema demu kichwa hesabu imelala kichwani mlimani wanamtambua.

''
Salum Mwalimu anao watoto wawili, wa kwanza wa kike na wa pili ni wa kiume. Mazingira aliyonayo yanakuwa magumu kumpandisha jukwaani mzazi mwenzie pamoja na watoto kwa sababu mzazi mwenzie ni mke wa mtu. Hivyo inakuwa changamoto.

Naamini kuna siku atafanya hivyo , aliyezaa nae kaolewa na Mzee wa makamo hivyo ikamlazimu huyo dada ambaye ni mbunge (CHADEMA) wa jimbo kutoka mkoa wa Mara kutafuta kijana aweze kufurahia ujana wake maana damu bado inachemka, na mapenzi yao yalianzia walipokutana kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Tarime mwaka 2008 baada ya kifo cha Marehemu Chacha Wangwe ''

Soma >Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe - JamiiForums
ccccc watu kwa kudukua ni hatari
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,476
2,000
Huyu dem asingekuja kwenye public limelight namna hii.....kweli mm binafsi baada ya kuona ili andiko heshma yangu kwake imepungua.....infact hata wapiga kura hawapendi....unapoanza kujipambanua kwa mali.....
Sio yeye mkuu ni vyombo vyetu vya habari kuwa na program ambazo zinawatembelea watu maarufu katika nyanja za siasa, biashara, sanaa n.k kujua mbali na siasa ama sanaa kuna issue gani zingine nyuma ya pazia wanafanya na je majukumu ya kifamilia wanayatekelezaji huku wakiwa wamebanwa na majukumu mengine ya kitaifa. (lengo kuwaandaa kisaikolojia waleambao ni underground pindi watakapofika level flani)

Sasa wananzengo huangalia issue ya nyumba badala ya contents ya kile kilichozungumzwa yaani ni sawa na Binti mwenye makalio makubwa amesimama kwenye mlango mzuri ambao fundi anatangaza anaweza kuuchonga lakini watu badala ya kuangalia mlango wao wanaangalia makalio

Check hiyo clip mkuu ubadilike mtazamo na KURUDISHA HESHIMA YAKO KWAKE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom