Umetumwa wewe sio bure, hebu tuwekee hiyo video tusikieKwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Labda ungeaza na huyo mtukufu wako kwanza kwa sababu anavyofyatuka huko uchochezi bali ni vita anaitamani haswa.Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Hopeless, Lema alihamasisha lini vurugu? NonsenseKwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Tupe mbinu za kukatamata wezi wa dhahabu aliyosema...Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Tukusaidie nini sisi?Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Unamkamata ili ukashindwe mahakamani?Au unamkamata ili wewe polisi ndio uwe mahakama?Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
yani huu UTUMBO ulioandika ndo ulikufanya uamke usiku wote huo?Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Umemona Heche pekeyake kwavile upinzani... Kitwanga aliongea nini sikuile kuhusu maji.Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.