Mbunge wa Tarime hakutakiwa kuwa nje kwa sasa , navishangaa vyombo vinavyohusika

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
2,000
Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.

Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
 
rsvp

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
773
1,000
Wabunge wakiwa bungeni wanayo kinga kwa mujibu wa sheria.!
Bungeni ndio eneo ambalo mbunge ana uhuru wa kuongea.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,745
2,000
Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.

Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Umetumwa wewe sio bure, hebu tuwekee hiyo video tusikie
 
tentemente

Senior Member
May 30, 2015
149
250

Labda ungeaza na huyo mtukufu wako kwanza kwa sababu anavyofyatuka huko uchochezi bali ni vita anaitamani haswa.
Atauwa watu wengi sana ila hatofanikiwa
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,658
2,000
Rais wako alisema kuwa huo mgodi wamiliki ni wezi sasa unataka Hache afanye nini kama rais wako wa ccm alitoa tamko kuwa wenye mgodi ni waizi.

Swissme
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,512
2,000
Wewe unadhani Tarime ni kama huko kwenu Nanjilinji? Wananchi wa Tarime hawawezi kuona mbunge wao akikamatwa kwa sababu za uonevu wakakaa kimya. Labda ziwe sababu za msingi kuwa kweli kavunja sheria. Lakini kama ni za kiuonevu itabidi hao watendaji wakuu wa serikali wahamishie shughuli nje ya Tarime maana kunaweza kuwa hakukaliki.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,062
2,000
Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.

Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.
Hopeless, Lema alihamasisha lini vurugu? Nonsense
 
MaxMase

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
788

Tupe mbinu za kukatamata wezi wa dhahabu aliyosema...
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,083

Tukusaidie nini sisi?
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987

Unamkamata ili ukashindwe mahakamani?Au unamkamata ili wewe polisi ndio uwe mahakama?
 
kupukupu

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
426

yani huu UTUMBO ulioandika ndo ulikufanya uamke usiku wote huo?
 
Abdallahkova

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
1,158

Umemona Heche pekeyake kwavile upinzani... Kitwanga aliongea nini sikuile kuhusu maji.

Punguza hasira nawapinzani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom