ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,692
Kwa maneno yake tu aliyoyasema bungeni yanahamasisha vurugu, ana kesi ya kujibu ya uchochezi. Yeye ni kiongozi mkubwa aliyechaguliwa na watu anapoongea neno lolote anaongea kwa dhamana aliyonayo. Vurugu zozote zikitokea leo yeye ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwajibika kwa kauli zake za kichochezi.
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa naibu spika bunge lililo pita ( job ndugai) katika kumkemea aliyekuwa mbunge wa Tunduru alipokuwa anahamasisha mashehe kuingia mitaani kuandamana kudai mahakama ya kadhi, alimwambia kwamba " unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana katika kuchagua maneno ya kuongea , je akitokea mbunge mwingine naye akahamasisha maaskofu kesho hiyo kuingia mitaani unafikiri nini kitatokea " bahati mbaya sana huyo mbunge hakurudi tena bungeni 2015.
Haihitaji mtu afike darasa la saba ili kujua kwamba maneno ya Heche yanahatarisha afya za watu na mali zao, mamlaka zinazohusika zina fanya nini. Yaani na hilo nalo mpaka raisi aagize kamata huyo kama anavyo waagiza kuwakamata wachochezi wengeni kama akina Lema na wengineo.
Tatizo vyombo vyetu havijiongezi vimeshazoea kufanya kazi kwa maagizo.
Hata hili nalo mnasubiri bwana mkubwa awaagize , shame on you.