sawa ndg ila anza na walioko mjengoni kwanza maana ndo wapuuzi kwelikweli.Hoja za udini hazijengi nchi wakuu, hebu tufikire taifa lina matatizo gani ya msingi ambayo yanahitaji mawazo yetu sisi ili kupata majawabu, Tuwaze juu ya elimu yetu amabayo hata mpaka sasa hata wanafunzi wa kijiunga na A-level bado ni kitendawili yaani hakuna wenye sifa za kutosha, Tuwaze juu ya tatizo sugu la ufisadi nchini etc, Hivi kweli leo hii udini ndio umekuwa kipaumbele chetu?
Mimi ni mkristo ninayetokea ktk jamii yenye dini tofauti lakin sipendezwi na badhi ya michango ya wakristo na waislamu humu JF yaani tumepigwa upofu na Shetani na sasa tumeacha agenda kuu yani tumegeukiana sisi kawa sisi. Dah......!
Nchi yangu eeeh.......!
mi nafikiri hukuelewa vizuri thread,haya yalisemwa na rage bungeni jana na akiamini anamtetea mwajiri wake,swali ni je unafikiri ni watanzania wangapi waliotazama bunge jana wameamini mtazamo wa rage,na unafikiri takwimu zake ni za kweli,na tusipopata nafasi ya kukemea kupitia vyanzo mbalimbali vya habari tutafika,mi nafikiri kwa kuwa unaelewa hali halisi saidia kukanusha takwimu za rage kwa kuwa zilikuwa za uongo pili kama yeye anapinga udini ilikuwaje alete takwimu kwa kutenga dini za watu bungeni,wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa rage kufanya hivyo?
there is where my worry lies.... hakuna kiongozi yeyote wa CDM anaekeme EXTREMISIM ya wakristo wafuasi wa CDM. hawakuweza kuwakataza MAASKOFU Kuwapigia kampeni makanisani, na sasa wanabadili kibao na kuwavika dhambi ya udini CCM... NCHEMBA kawauliza... tumekuwa na mkristo,muislam,mkristo na sasa muislam kama maraisi tangu uhuru. na muda wote huo tuko chini ya CCM... hii hali ya udini ni mpya na tujiulize,, kilicho kipya katika jamii yetu kwa sasa ni nini???
jibu liko wazi nacho ni CDM kama chama kikuu cha upinzani ndio lilio jipya katika nchi yetu na inaenda sambamba na upya wa udini uliopo sasa. 1+1=2.. simple n clear
I see, nyie watu sio kama mnafanya mambo haya kwa bahati mbaya! mnasukumwa na dhamira za ajabu sana ndani ya mioyo yenu. Kumbukeni kuwa mtoto haimbiwi nyimbo mbaya, jaribuni kutumia akili zenu kutafakari yanayosemwa. Tatizo lenu nyie Chadema hata kama mnanajua ukweli wa kitu, hamkubali kushindwa, hilo tu ndilo linanichukiza, mtu anajua kabisa "udini" maana yake nini lkn atang`ang`aniazia kitu alimradi onekane yuko sawa.
Kuna malalamiko mengi sana yametolewa kuhusu chadema sote mashahidi. Kuna waliosema ni chama cha kikanda zikaletwa hoja kuonyesha huo ni upotofu!
Zikaja hoja za kuwa ni chama cha kikabila zikajibiwa kwa hoja walioleta hoya wakashindwa!
Zikaja hoja kuwa cdm ni chama cha "kidini" wanachadema na wasio kuwa wanachadema wakachangia vizuri na kupambanua kuwa kuna watu kama kina Zitto Kabwe ni waislam wapo cdm na Zitto ni naibu katibu mkuu! Sijasikia hoja zako za mbona na fulani yeye ni mpagani! Kwa hoja yako inaonyesha basi hata hao unaowatetea na wao ni wadini kwasababu wameshindwa kuwachukua na wapagani kuwapa nafasi kwenye chama!
Jamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? KAtika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?
Wapi tunakwenda?
there is where my worry lies.... hakuna kiongozi yeyote wa CDM anaekeme EXTREMISIM ya wakristo wafuasi wa CDM. hawakuweza kuwakataza MAASKOFU Kuwapigia kampeni makanisani, na sasa wanabadili kibao na kuwavika dhambi ya udini CCM... NCHEMBA kawauliza... tumekuwa na mkristo,muislam,mkristo na sasa muislam kama maraisi tangu uhuru. na muda wote huo tuko chini ya CCM... hii hali ya udini ni mpya na tujiulize,, kilicho kipya katika jamii yetu kwa sasa ni nini???
jibu liko wazi nacho ni CDM kama chama kikuu cha upinzani ndio lilio jipya katika nchi yetu na inaenda sambamba na upya wa udini uliopo sasa. 1+1=2.. simple n clear
Hivi juni unapata faida gani kueneza chuki za kidini? kwenye ile thread yako ambayo uliandika maneno ya uongo kutimiza matakwa yako nilijaribu kukuweka sawa kuwa uliyoyasema hayakuwa ya kweli na ulipindisha ukweli kwa faida yako na ya waliokutuma.
Nina amini unafanya hivi sio kwa bahati mbaya kuna watu nyuma wanachochea haya mambo na "pengine" kuna malipo makubwa mnayapata au kuyategemea kwa kazi hii ovu!
Unasema NSSF hivi wewe unajua miaka ya mwanzo ya uhuru mji huu watumishi wote wa ngazi ya chini "madereva na wahudumu/messengers" walikuwa ni wenyeji wa pwani na dar es salaam? ambao majority walikuwa ni waislam! Umefanya takwimu sahihi ukaona kuna Wachagga wangapi TRA?kabla ya kuigusa NSSF? Hivi unadhani watu wakikaa kimya hawajui kinachoendelea? Acheni chuki za kijinga ambazo hazina maana yoyote kwa taifa hili. Jipangeni vizuri kwa hoja zenye tija kwa taifa sio hoja za kufarakana!
Aliyoyasema Rage yana ukweli kabisa kuwa kumepita awamu nne hakukuwa na maneno ya "udini" naanza kumwamini kuwa "udini" umeletwa na waliongia kwenye siasa hivi karibuni kwa maana nakumbuka marafiki zangu wengi niliosoma nao walikuwa dini tofouti na mimi na mpaka sasa nawaona kama family members wangu hatujawahi kubaguana kwa sababu wao wana dini tofauti na mimi.
Hii kitu ipo kwenye peak kuna mwandishi wenu mmoja wa habari ni mdini kupindukia naisubiri makala yake kwa hamu na tamu.
Badala ya kujadili mambo ya utaifa mnajadili m maswala ya dini ama kweli tuna safari ndefu sana.
mtoa hoja ni rage mkuu ndo tunaemsahihisha hapa!¬i see, nyie watu sio kama mnafanya mambo haya kwa bahati mbaya! Mnasukumwa na dhamira za ajabu sana ndani ya mioyo yenu. Kumbukeni kuwa mtoto haimbiwi nyimbo mbaya, jaribuni kutumia akili zenu kutafakari yanayosemwa. Tatizo lenu nyie chadema hata kama mnanajua ukweli wa kitu, hamkubali kushindwa, hilo tu ndilo linanichukiza, mtu anajua kabisa "udini" maana yake nini lkn atang`ang`aniazia kitu alimradi onekane yuko sawa.
Kuna malalamiko mengi sana yametolewa kuhusu chadema sote mashahidi. Kuna waliosema ni chama cha kikanda zikaletwa hoja kuonyesha huo ni upotofu!
Zikaja hoja za kuwa ni chama cha kikabila zikajibiwa kwa hoja walioleta hoya wakashindwa!
Zikaja hoja kuwa cdm ni chama cha "kidini" wanachadema na wasio kuwa wanachadema wakachangia vizuri na kupambanua kuwa kuna watu kama kina zitto kabwe ni waislam wapo cdm na zitto ni naibu katibu mkuu! Sijasikia hoja zako za mbona na fulani yeye ni mpagani! Kwa hoja yako inaonyesha basi hata hao unaowatetea na wao ni wadini kwasababu wameshindwa kuwachukua na wapagani kuwapa nafasi kwenye chama!
Jamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? Je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? Katika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?
Wapi tunakwenda?
km takwimu za rage ni za uongo hebu tupatie takwimu za kweli za mawaziri na manaibu wao,makatibu wa kuu wa wizara zote,wakuu wa mikoa pia tuongezee na wakurugenzi wanaoongoza taasisi km nhif,lapf,pspf,tra,bot,takukuru,mnh,shiika la elimu kibaha,necta na tbc,manake nyie hua mnang'ang'ania nssf tu!!
mfuasi wa ccm anachoweza kukuambia cha kweli ni jina lake tu?
Hivi kweli Philipo linaweza kuwa jina la ukoo?... Bw. Mulugo aliongeza kuwa, ni kweli wakati anasoma alikuwa akitumia jina la Amim na baada ya kufika elimu ya juu alianza kutumia jina la Philipo ambalo ni la ukoo ...
Wasiwasi wangu tusifikie hatua unahitaji kuongezewa damuJamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? KAtika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?
Wapi tunakwenda?
Mkuu, kwenye swala hili ndipo utagundua kwamba hawa MaCCM ni vilaza wakubwa.Unajua watu wengi wana.define udini kwa namna isiyo ya ukweli. Mmojawapo ni huyu Rage. Yeye anafikiri kwa rais muisilamu kuteua wakristu wengi ndio ishara ya kutokuwapo udini. Mimi nasema, kama kweli JK aliwateua wakristu ili aonekane hajapendelea waisilamu (kama alivyoashiria Rage), basi huo ndio udini. Mwalimu Nyerere aliongea vizuri sana kuhusu udini. Alisema "Hatutamchagua mtu kwa sababu ya dini yake, wala hatutamkataa mtu kwa sababu ya dini yake". Bila ya kujali ni wa dini yako au asiye wa dini yako, kama unazingatia dini ya mtu katika kumchagua au kumteua, huo ndio udini. Kwa hiyo, kama JK aliwateua mawaziri kwa kuangalia huyu ni dini gani, hata kama aliowateua sio wa dini yake, huo ni udini
Hii hoja ya udini sio jambo la kuendekeza. Practically udini haupo nchini ila wapo wanaoutaka kwa maslahi ya kisiasa na dawa yao ni kushughulikiwa na vyombo husika bila huruma.I see, nyie watu sio kama mnafanya mambo haya kwa bahati mbaya! mnasukumwa na dhamira za ajabu sana ndani ya mioyo yenu. Kumbukeni kuwa mtoto haimbiwi nyimbo mbaya, jaribuni kutumia akili zenu kutafakari yanayosemwa. Tatizo lenu nyie Chadema hata kama mnanajua ukweli wa kitu, hamkubali kushindwa, hilo tu ndilo linanichukiza, mtu anajua kabisa "udini" maana yake nini lkn atang`ang`aniazia kitu alimradi onekane yuko sawa.
Kuna malalamiko mengi sana yametolewa kuhusu chadema sote mashahidi. Kuna waliosema ni chama cha kikanda zikaletwa hoja kuonyesha huo ni upotofu!
Zikaja hoja za kuwa ni chama cha kikabila zikajibiwa kwa hoja walioleta hoya wakashindwa!
Zikaja hoja kuwa cdm ni chama cha "kidini" wanachadema na wasio kuwa wanachadema wakachangia vizuri na kupambanua kuwa kuna watu kama kina Zitto Kabwe ni waislam wapo cdm na Zitto ni naibu katibu mkuu! Sijasikia hoja zako za mbona na fulani yeye ni mpagani! Kwa hoja yako inaonyesha basi hata hao unaowatetea na wao ni wadini kwasababu wameshindwa kuwachukua na wapagani kuwapa nafasi kwenye chama!
Jamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? KAtika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?
Wapi tunakwenda?
Napata wasiwasi sijui itakuwaje kama nchi itakabidhiwa kwa cdm 2015 najiuliza hizi chuki wanazoonyesha wanachama na wafuasi wa cdm dhidi ya waislam ambao ni wananchi wa daraja la pili Tanzania zitashika kasi kama moto wa nyika! Napata wasiwasi kwa kuwa tuna viongozi wao humu jf hawawapi muongozo! Utakuta kiongozi yumo anafuatilia mjadala yeye hatii neno!
Very low.....
hivi juni unapata faida gani kueneza chuki za kidini? Kwenye ile thread yako ambayo uliandika maneno ya uongo kutimiza matakwa yako nilijaribu kukuweka sawa kuwa uliyoyasema hayakuwa ya kweli na ulipindisha ukweli kwa faida yako na ya waliokutuma.
Nina amini unafanya hivi sio kwa bahati mbaya kuna watu nyuma wanachochea haya mambo na "pengine" kuna malipo makubwa mnayapata au kuyategemea kwa kazi hii ovu!
Unasema nssf hivi wewe unajua miaka ya mwanzo ya uhuru mji huu watumishi wote wa ngazi ya chini "madereva na wahudumu/messengers" walikuwa ni wenyeji wa pwani na dar es salaam? Ambao majority walikuwa ni waislam! Umefanya takwimu sahihi ukaona kuna wachagga wangapi tra?kabla ya kuigusa nssf? Hivi unadhani watu wakikaa kimya hawajui kinachoendelea? Acheni chuki za kijinga ambazo hazina maana yoyote kwa taifa hili. Jipangeni vizuri kwa hoja zenye tija kwa taifa sio hoja za kufarakana!
Aliyoyasema rage yana ukweli kabisa kuwa kumepita awamu nne hakukuwa na maneno ya "udini" naanza kumwamini kuwa "udini" umeletwa na waliongia kwenye siasa hivi karibuni kwa maana nakumbuka marafiki zangu wengi niliosoma nao walikuwa dini tofouti na mimi na mpaka sasa nawaona kama family members wangu hatujawahi kubaguana kwa sababu wao wana dini tofauti na mimi.
Hii kitu ipo kwenye peak kuna mwandishi wenu mmoja wa habari ni mdini kupindukia naisubiri makala yake kwa hamu na tamu.badala ya kujadili mambo ya utaifa mnajadili m maswala ya dini ama kweli tuna safari ndefu sana.
wakati wenzako wakizunguka nchi nzima kuwatukana wakristo mbona ulikaa kimya? waliokua wamelala sasa wameamka,tutakutana 2015,lakini utambue huku bara wabunge wa dini yako mtawapata maeneo ya huku pwani tu! na hili litakua fundisho kwa wengi wenu kunyamazia matusi na kejeli za akina ponda na ilunga!Napata wasiwasi sijui itakuwaje kama nchi itakabidhiwa kwa cdm 2015 najiuliza hizi chuki wanazoonyesha wanachama na wafuasi wa cdm dhidi ya waislam ambao ni wananchi wa daraja la pili Tanzania zitashika kasi kama moto wa nyika! Napata wasiwasi kwa kuwa tuna viongozi wao humu jf hawawapi muongozo! Utakuta kiongozi yumo anafuatilia mjadala yeye hatii neno!
Very low.....
da kweli mkuu hata majina pia wanadanganyaHivi kweli Philipo linaweza kuwa jina la ukoo?
GOD 4BID.. Ndugu zangu!!! kwa nini humu JF kusiwe ndio chanzo kitakachoasisi suluhisho la hizi tofauti za kidini???Wasiwasi wangu tusifikie hatua unahitaji kuongezewa damu
halafu unaulizana "hii ni damu ya Mkristo au Muislamu"...