Mbunge wa Tabora athibitisha udini wa serikali ya CCM

Mbunge wa Tabora athibitisha udini wa serikali ya CCM

I see, nyie watu sio kama mnafanya mambo haya kwa bahati mbaya! mnasukumwa na dhamira za ajabu sana ndani ya mioyo yenu. Kumbukeni kuwa mtoto haimbiwi nyimbo mbaya, jaribuni kutumia akili zenu kutafakari yanayosemwa. Tatizo lenu nyie Chadema hata kama mnanajua ukweli wa kitu, hamkubali kushindwa, hilo tu ndilo linanichukiza, mtu anajua kabisa "udini" maana yake nini lkn atang`ang`aniazia kitu alimradi onekane yuko sawa.

Kuna malalamiko mengi sana yametolewa kuhusu chadema sote mashahidi. Kuna waliosema ni chama cha kikanda zikaletwa hoja kuonyesha huo ni upotofu!
Zikaja hoja za kuwa ni chama cha kikabila zikajibiwa kwa hoja walioleta hoya wakashindwa!
Zikaja hoja kuwa cdm ni chama cha "kidini" wanachadema na wasio kuwa wanachadema wakachangia vizuri na kupambanua kuwa kuna watu kama kina Zitto Kabwe ni waislam wapo cdm na Zitto ni naibu katibu mkuu! Sijasikia hoja zako za mbona na fulani yeye ni mpagani! Kwa hoja yako inaonyesha basi hata hao unaowatetea na wao ni wadini kwasababu wameshindwa kuwachukua na wapagani kuwapa nafasi kwenye chama!

Jamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? KAtika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?

Wapi tunakwenda?

Kwa mara ya kwanza ninakuunga mkono mkuu
 
I see, nyie watu sio kama mnafanya mambo haya kwa bahati mbaya! mnasukumwa na dhamira za ajabu sana ndani ya mioyo yenu. Kumbukeni kuwa mtoto haimbiwi nyimbo mbaya, jaribuni kutumia akili zenu kutafakari yanayosemwa. Tatizo lenu nyie Chadema hata kama mnanajua ukweli wa kitu, hamkubali kushindwa, hilo tu ndilo linanichukiza, mtu anajua kabisa "udini" maana yake nini lkn atang`ang`aniazia kitu alimradi onekane yuko
sawa.

Kuna malalamiko mengi sana yametolewa kuhusu chadema sote mashahidi. Kuna waliosema ni chama cha kikanda zikaletwa hoja kuonyesha huo ni upotofu!
Zikaja hoja za kuwa ni chama cha kikabila zikajibiwa kwa hoja walioleta hoya wakashindwa!
Zikaja hoja kuwa cdm ni chama cha "kidini" wanachadema na wasio kuwa wanachadema wakachangia vizuri na kupambanua kuwa kuna watu kama kina Zitto Kabwe ni waislam wapo cdm na Zitto ni naibu katibu mkuu! Sijasikia hoja zako za mbona na fulani yeye ni mpagani! Kwa hoja yako inaonyesha basi hata hao unaowatetea na wao ni wadini kwasababu wameshindwa kuwachukua na wapagani kuwapa nafasi kwenye chama!

Jamani ifike mahali tuseme basi kwenye hizi habari za kidini, hivi mleta mada hujapata kusoma na ambao ni dini tofauti na wengine wakawa kama n dugu zako? Huna majirani ambao ni dini tofauti na wewe? Kwenye familia yenu hakuna muingiliano wa dini tofauti na uliyonayo? je mwanao na watoto wa ndugu zako wanasoma shule za dini moja? KAtika maisha yako yote hujapata kusaidiwa na mtu asie kuwa wa dini yako?

Wapi tunakwenda?

Umeongea vyema. Nisichokielewa ni kuwa CDM inaingiaje hapa. Kwamba hii hoja inakuwaje ya CDM badala ya kuwa ya mtoa hoja.
 
Jamani hayo mambo ya udini yananikera sana mimi ninapo yasikia. mods muwe mnafuta tried kama hizi
 
there is where my worry lies.... hakuna kiongozi yeyote wa CDM anaekeme EXTREMISIM ya wakristo wafuasi wa CDM. hawakuweza kuwakataza MAASKOFU Kuwapigia kampeni makanisani, na sasa wanabadili kibao na kuwavika dhambi ya udini CCM... NCHEMBA kawauliza... tumekuwa na mkristo,muislam,mkristo na sasa muislam kama maraisi tangu uhuru. na muda wote huo tuko chini ya CCM... hii hali ya udini ni mpya na tujiulize,, kilicho kipya katika jamii yetu kwa sasa ni nini???
jibu liko wazi nacho ni CDM kama chama kikuu cha upinzani ndio lilio jipya katika nchi yetu na inaenda sambamba na upya wa udini uliopo sasa. 1+1=2.. simple n clear

Ndio hawakuweza kuwakataza maaskofu kufanya hivo kama ambavyo hawakuweza kuwakataza wakati wakimpigia chepuo JK -2005? Je hilo hulioni? Ni kina nani waliweka kwenye ilani yao ya uchaguzi udini? CCM au CDM??? Mahakama ya Kadhi ni manufaa na kwa mujibu wa dini au siasa? Mpeni Mungu vilivyo vyake Mungu, na Kaisari mpeni vyake.....Iweje mahakama ya kadhi iingie kwenye ilani ya uchaguzi? Nani mdini?
 
Mimi binafsi nakasirishwa na kufedheheshwa sana kuona viongozi wa CHADEMA wanatumia BIBILIA majukwaani kushawishi wapiga kura. Mimi sio muamini wa bibilia na wanafanya hivyo fika huku wanajua kuwa wanao waunga mkono wapo wasio AMINI bibilia. Kwa maana hiyo basi wanatuthibitishia kwamba hiki ni chama cha dini fulani na si cha watu wa imani zote.

Hebu angalia mfano mdogo tu hapo kwenye link Burudan Mwanzo - Mwisho: CHADEMA WATIKISA JIJI LA ARUSHA

Kuna mifano mingi tu kule karatu, iringa, mwanza na mbeya (Hatujui huko makanisani kuna mahubiri gani), Kisha wanainyooshea CCM kidole kwamba eti wao ndio wanaleta udidi.
 
Udini sasa umerudi Bungeni ,utatumaliza huu udini
 
Simba hawamtaki Rage kwa sababu anaupeo mdogo wa kuelewa mambo!
jana ndiyo nimegundua kuwa mhe.Rage ana upeo mdogo sana wa kuelewa mambo,ile kutoa takwimu za waislamu na wakrito katika serikali bila kusema kuwa takwimu hizo amezipataje?amejuaje dini za au aliowahita waislamu na wakristo,kumbe ndiyo maana simba hawamtaki kwenye uongozi wa club yao!Tabora mjini nao watakukataa kwa stahili hii!
 
Back
Top Bottom