Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

Wengi tulitegemea hili ht Lissu mwenyewe maana hakuongea aloyaongea kwa bahati mbaya kuna image anataka ionekane ndan na nje ya nchi na wacvyojielewa wameingia king kichwa kichwa,wakumkamata wapo ila wa kumfunga hajazaliwa na sio j3 ht wamshikilie mda gan yy c papai tuseme litaoza!Aluta continua.
 
Acha wamtengenezee jina tz.amu challenge sizonje 2020,amshinde kirahisi
 
Hata Hosny Mubarak alikuwa anatawala Misri kidikteta lakini kila mmoja anafahamu yaliyomfika. Huyu naye siku zake zinahesabika. Tutaandamana kumtoa ofisini kama ilivyokuwa kwa Mubarak. Watanzania tumechoshwa na utawala usiofuata misingi ya demokrasia.
Dua la kuku.
 
Serikali makini ingempuuza Tundu Lisu, hivi ni kumzidishia umaarufu bila gharama yoyote! Ni upuuzi kuhangaika na kauli za Tundu Lisu! Anaushawishi kiasi gani kuwashawishi mataifa kukata misaada!?! Ubavu huo anao kweli!? Yaani kauli ya Lisu izuie misaada kuja Tanzania!! This is not serious kwa kweli!!
 
Mimi hapa ndipo staili ya utawala wa jpm inaponitoa jasho! Kwa nyadhifa alizo nazo, huyu ni mtu ambaye hawezi kutoroka nchi kwa namna yo yote ile. Kuna haraka gani ya kumkamata kama mnataka kukmakamata? Je, kama wangemwacha ajiendee katika huo mkutano, wakasubiri akirejea wakampa summons ya kumwita central, wangepoteza nini? I must admit, I don't get it! Mwenye kujua atusaidie?
 
Police ni jukumu lao kufatilia kila mtu anayevunja sheria au kuhamaisha uvunjifu wa amani. Kibit kuna kikosi kazi kinaendelea na kina Lissu na kubwabwaja kwao lazima wakutane na mkono wa Police.
nimesikiliza yale maongezi lakini sijaona akiongea hayo mambo ya uchochezi,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Tundu Lissu alivyo muoga wa kupelekwa keko!si ajabu na yeye akataka apelekwe JK Heart Institute.
 
Back
Top Bottom