Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

Ni vizuri wanasiasa hasa wanaotarajia kuwa viongozi wa juu waelewe namna ya kuongea kwa weledi kwa kujenga na kutetea hoja zao badala ya kuongea kwa mihemko wakidhani wanawafurahisha watu fulani. Hivi unaweza kutuhumu kuwa mkuu wa majeshi kateuliwa kwa upendeleo wa kikabila? mtu ambaye alikuwa kwenye ngazi ya luteni jenerali!? Hii ni sawa na kumdhalilisha kwamba hakustahili kupanda hizo ranks kufikia ngazi ya jenerali, shutuma ambazo hazistahili kwa kiongozi wa taasisi nyeti kama JWTZ.
.....
....umetumwa?
 
Sioni mantiki ya polisi kumkamata Mh.Lisu.Mheshimiwa Tindu Lisu ametoa mawazo yake.Katiba inamruhusu mtu kuwa na maoni yake nakuyatoa ,kilicho wauma watawala ni kwamba Mh lLisu amesema kweli tupu .Na kwakuwa ukweli siku zote mtu akiambiwa huwa una maumivu yake makali .Sasa wapambe wa mfalme lazima wajikombe kwa mfalme kuwa nao pia hawajapendezwa na kauli za mh Lisu. Kwakusema dhahiri uovu wa mfalme hadharani .lakini waTanzania na watu wenye akili wameshajua nini kinaendelea na kumkamata Lisu hakutafuta ukweli wa maneno katika mioyo ya Wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is this EALS thing a terrorist group? Is it a den of dissidents and activists? Or is it a professional body with international stature? What would a man like Lissu be doing in such entity? I am sure the other delegates are amused at best, frustrated at worst. Tundulissu is a disgrace to our Nation among nations!!

Sent using Jamii Forums mobile app
If u call lissu a disgrace for just sharing his opinion to a free public what do u call magufuli who threatens his people and harrasing the public using police force.......
 
*HATIMAYE TUNDU LISSU KAWACHEZESHA WATESI WAKE SINGELI NA SINGELI REMIX*

Ndiye Muasisi na Muanzilishi wa neno DIKTETA UCHWARA.

Alipowapigia "Singeli Uchwara", Wakamkamata, wakamuweka korokoroni kisha wakampeleka Mahakamani. Alipotoka akairudia Singeli ile ile. Wakamkamata tena, wakamsweka Korokoroni. Ubatizo ukakamilika. Tanzania nzima ikamjua huyo Dikteta Uchwara.

Mapema Jumatatu ya wiki hii akapiga "Singeli Uchwara remix" akiwa na Azma yake kichwani.

Bila kujua wakaicheza Singeli, tena hii ni ya Kimataifa. Wakaja kichwakichwa wakamkamata Airport.

*NINI KITATOKEA?*
Kiti chake kilichoandikwa Tanzania kitakuwa wazi pale Kigali Rwanda kwenye Mkutano wa EALS,

Wenzake kutoka nchi nyingine watauliza ;

*Yuko wapi Tundu Lissu?*
Jibu: Amekamatwa Airport alipokuwa anataka kuja huku

*Kwanini amekanatwa?*
Jibu: Inadaiwa eti amekosoa Utawala wa Rais wa nchi yake

*Rais wao hakosolewi? Amekuwa Biblia au Quraan?*
Jibu: ..........................

Singeli imefika anga za Kimataifa.

*MISSION ACCOMPLISHED!!!*

Shikamoo Rais wa TLS

*Na LYENDA G*
 
Lissu wangu angejua kwa kujifunzia kwa Seth Habinder Singh kuwa siku hizi watuhumiwa wanakamatwa kwa msaada wa rada za airport, angesafiri kwa basi. Pole ndugu, wakili msomi na rafiki yangu Tundu Lissu. Bado kuna muda wa kujirekebisha. Hao wenzako wanakutegea umalizike ndiowaanze Siasa sahihi kwenye chama chao. Haiwezekani maprofesa, wafanyabiashara na wasomi wengine wa Chadema wakae kimya namna hii na wewe ndio useme tu. Wamekurushia kamba ujinyonge mwenyewe baadaye wao wandelee na siasa za kistaarabu. Waulize NRA atakwambia historia yao ilivyokuwa; Museveni Kaguta Yoweri aliuza wenzake kwa jeshi l Ugnda na UPC ili aweze kufika katika kilele cha Siasa za Uganda. Na wewe undio umeuzwa hivyo.
 
*HATIMAYE TUNDU LISSU KAWACHEZESHA WATESI WAKE SINGELI NA SINGELI REMIX*

Ndiye Muasisi na Muanzilishi wa neno DIKTETA UCHWARA.

Alipowapigia "Singeli Uchwara", Wakamkamata, wakamuweka korokoroni kisha wakampeleka Mahakamani. Alipotoka akairudia Singeli ile ile. Wakamkamata tena, wakamsweka Korokoroni. Ubatizo ukakamilika. Tanzania nzima ikamjua huyo Dikteta Uchwara.

Mapema Jumatatu ya wiki hii akapiga "Singeli Uchwara remix" akiwa na Azma yake kichwani.

Bila kujua wakaicheza Singeli, tena hii ni ya Kimataifa. Wakaja kichwakichwa wakamkamata Airport.

*NINI KITATOKEA?*
Kiti chake kilichoandikwa Tanzania kitakuwa wazi pale Kigali Rwanda kwenye Mkutano wa EALS,

Wenzake kutoka nchi nyingine watauliza ;

*Yuko wapi Tundu Lissu?*
Jibu: Amekamatwa Airport alipokuwa anataka kuja huku

*Kwanini amekanatwa?*
Jibu: Inadaiwa eti amekosoa Utawala wa Rais wa nchi yake

*Rais wao hakosolewi? Amekuwa Biblia au Quraan?*
Jibu: ..........................

Singeli imefika anga za Kimataifa.

*MISSION ACCOMPLISHED!!!*

Shikamoo Rais wa TLS

*Na LYENDA G*
Wamefanya kama ambavyo alifikiria.

Ikumbukwe kwamba Tundu Lisu, hata kwenye mahakama ya Dodoma aliiomba mahakama ipange tarehe ya mbali kwa sababu ameambiwa kuwa atakamatwa na Polisi. Kwa hiyo alijua atakamatwa. Mahakama ikaridhia na kupanga kesi ya wateja wa TL mwezi September. Lisu alitaka akamatwe wakati anaenda mkutanoni, na siyo kabla.

Hii itakuwa ni habari ya Dunia. Watawala wanaweza wasijali lakini madhara yake hayaangalii unajali au hujali.

Polisi wamefanya kama ambavyo Lisu alipanga wafanye. Hilo ni kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utumwa wa kifikra huo, kwamba huwezi kusema mpaka utumwe? Wakati wa mfumo wa chama kimoja ilikuwa hivi hivi, akitokea mwana CCM mwenye mawazo tofauti na ya zidumu fikra za mwenyekiti, alikuwa anasemwa na kushambuliwa na wenzake kwamba katumwa kukivuruga chama. Ni ajabu kijana wa karne hii una mawazo yale yale ya utumwa wa fikra. Aibu kwako.
Kwanini asiandike kisw?
 
Anyway ahojiwe kama anakosa apelekwe mahakamani tuone hizo sarakasi zake!
Nimuone huyo polisi au mwanasheria atayeenda kupambana nae....
Mungu yupo pamoja nawewe Lissu
Le mutuz na Bashite wameandaa maji yenye Sumu wanafanya mipango akifikishwa mahakamani apelekwe jela wapate kumpatii hiyo slow poison
 
*HATIMAYE TUNDU LISSU KAWACHEZESHA WATESI WAKE SINGELI NA SINGELI REMIX*

Ndiye Muasisi na Muanzilishi wa neno DIKTETA UCHWARA.

Alipowapigia "Singeli Uchwara", Wakamkamata, wakamuweka korokoroni kisha wakampeleka Mahakamani. Alipotoka akairudia Singeli ile ile. Wakamkamata tena, wakamsweka Korokoroni. Ubatizo ukakamilika. Tanzania nzima ikamjua huyo Dikteta Uchwara.

Mapema Jumatatu ya wiki hii akapiga "Singeli Uchwara remix" akiwa na Azma yake kichwani.

Bila kujua wakaicheza Singeli, tena hii ni ya Kimataifa. Wakaja kichwakichwa wakamkamata Airport.

*NINI KITATOKEA?*
Kiti chake kilichoandikwa Tanzania kitakuwa wazi pale Kigali Rwanda kwenye Mkutano wa EALS,

Wenzake kutoka nchi nyingine watauliza ;

*Yuko wapi Tundu Lissu?*
Jibu: Amekamatwa Airport alipokuwa anataka kuja huku

*Kwanini amekanatwa?*
Jibu: Inadaiwa eti amekosoa Utawala wa Rais wa nchi yake

*Rais wao hakosolewi? Amekuwa Biblia au Quraan?*
Jibu: ..........................

Singeli imefika anga za Kimataifa.

*MISSION ACCOMPLISHED!!!*

Shikamoo Rais wa TLS

*Na LYENDA G*
Wataambiwa Rais wa Tz ana PhD feki na mshauri wake Mkuu Bashite hana vyeti ndiyo maana wanatawala kimabavu kama enzi ya idd Amin dada , ni wakati umoja wa mawakili ufungue kesi ICC The Hague waitwe huko angalau magufuli atazinduka toka kwenye ushauri wa Daud bashite a.k.a Maliyamungu
 
Tunao jilaumu ni sisi,kukubali kutawaliwa na ccm kwakua Hamna mnachotusaidia ila mnataka kunyamazisha watu wasiwakosoe,kwajinsi mnavyotokomeza nchi kuzimu ! Uwe mkweli tu,usiegemee hili likijani lako.mropokaji wa kitaifa ni nani kama sio huyo kiranja wenu ?

Lugha gani hizi zakutoka kinywani mwa mtawala ? Watakao leta fyokofyoko,Zanzibar ! Unapeleka kweli zombi kuua,kujeruhi,watu wanaotaka haki yao ?
Ikifika 2020,nitakua nimeua upinzani ! Mashehe waliopo jela wanaua kibiti ! nk.
Hivi hata kama unaubongo mdogo kama wa kuku,utaunga mkono kauli za kutisha kama hizi ?
Sio bure nyie ndo watekaji wenyewe,namnaleta ushabiki wakijinga ili mkamate wengi wanaochangia mitandaoni,ili msisemwe au kukosolewa ,kwasababu ya kumlinda dikiteta wenu.manake haiingii akilini jinsi mnavyojituma kwa bidii kulinda kauli za huyu mtu,nakuona wengine ndo wanakauli mbaya kama vile wamesema wamewakuta wakwe zenu,wakijihifadhi vichakani ! Hovyo kweli kweli nyie mizimu ya ccm.Mungu onyesha hasira yako japo Mara moja tu kwa huu utawala, ili wakuogope kwa uovu wao ulio igharikisha nchi,kwa huzuni isiyojulikana itatuondoka lini.Mkono wako unanguvu ya kumaliza jeuri na dharau ya ccm kwa wananchi na demokrasia yetu.tenda mfalme utukomboe mikononi mwa watesi wetu,nakulilia kwa haya, nikitazamia na kukuamini,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom