Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Kwani barua iliathiri utendaji kazi wake?Mbona amehudumu na kushirikiana na ofisi ya bunge miaka 2 mfululizo bila barua na hakuna aliyejua chochote.Leo mwaka wa mwisho wa ubunge wake ndo anastuka kuwa suala la barua?kama angataka barua mwezi 1 baada ya kupewa hicho kijiti ingekuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila barua maana yake haionekani kuwa yupo rasmi kwenye hiyo nafasi. Hii haiwezi kuingia kwenye CV yake.
 
Yaani kuna kajitu kanachafua sana hadhi ya mhimili wa Taifa letu kwa faida ya chama chake. Inawezekanaje kila jambo sahihi huwa linaonekana kuwa siyo sahihi? Yale yale ya kina Mwambe kukataa mishahara yao kukatwa ili kusaidia chama.
 
Back
Top Bottom