Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Selasini kawavumilia sana! Nilisema uchaguzi uliopita umeipasua zaidi Chadema! Mnyika kawekwa mtegoni sababu ya kutafuta huruma kirahisi lakini hakuna kuaminiana wala uaminifu tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache uongo wewe popo,huna lolote huna msimamo,huna ujualo,umejaa roho mbaya,chuki na husda.hujui ushangilie wapi,huyo unaemshangilia sasa ndio kiumbe wa ajabu,mjinga wa sheria na taratibu,mkatili na asie na utu kuliko Mtu yeyote hapa Tanzania.unapata wapi uhalali wa kukosoa CDM wewe .
 
..upinzani na CDM ni zaidi ya Mbowe unayemchukia.

..uchaguzi mkuu wa cdm umefanyika mwezi uliopita wewe tayari unatabiri na kuwaombea viongozi waliochaguliwa wafeli.
Ni rahisi Sana kumgundua mtu mshirikina,na ndo hivyo ulivyomgundua huyo jamaa,yeye kila siku ni Mbowe,Mbowe,lakini Madhila anayofanya jiwe anaona na sawa.
 
Selasini, Kubenea, Mwambe, ni wabunge wasiotakiwa na Mbowe, wakimaliza ubunge wao wanatimuliwa CHADEMA.
 
JokaKuu,
Kwa hiyo ikitokea na mwenyekiti kashambuliwa itabidi cheo chake kifungwe ili kuzuia ?
pia unaonaje kama chama kikifutwa kwa muda kwa sababu wanachama wake walishashambuliwa mara kadhaa ?
Nafasi ya mnadhimu itakuwepo bila kujali nini kinatokea,labda chama kishuke kiwango au kisiwepo kabisa.
 
Kwa hiyo ikitokea na mwenyekiti kashambuliwa itabidi cheo chake kifungwe ili kuzuia ?
pia unaonaje kama chama kikifutwa kwa muda kwa sababu wanachama wake walishashambuliwa mara kadhaa ?
Nafasi ya mnadhimu itakuwepo bila kujali nini kinatokea,labda chama kishuke kiwango au kisiwepo kabisa.

..usichanganye mambo ya chama na yale ya bungeni.

..mbunge amepigwa risasi ktk eneo linalolindwa na serikali.

..pia mbunge huyo amenyimwa stahiki zake za matibabu.

..halafu amefutwa ubunge bila kufuata sheria.

..mlolongo huo wa matukio ndiyo unaonifanya mimi niamini kwamba CDM ikimthibitisha mbunge mwingine kuwa mnadhimu symbolically itakuwa inabariki dhuluma aliyotendewa TL.

..naamini ni sahihi kwa CDM kuteua mbunge atakaye KAIMU nafasi hiyo kuonyesha kwamba hawatambui kuvuliwa ubunge kwa TL na wanalaani mazingira ya kufukuzwa kwake ubunge.
 
JokaKuu,
Lakini bado haiwi ni hoja ya kufuta baadjhi ya nyadhifa kwa sababu ya kuogopa kushambauliwa.
Haijalishi ni aina gani ya mazingira tukio hilo lilitokea,kwa sababu bilka ya kutazama kokolte ama cheo chochote,shambulizi linaweza kumtokea yeyote na mahali popote katika wakati wowote
 
Lakini bado haiwi ni hoja ya kufuta baadjhi ya nyadhifa kwa sababu ya kuogopa kushambauliwa.
Haijalishi ni aina gani ya mazingira tukio hilo lilitokea,kwa sababu bilka ya kutazama kokolte ama cheo chochote,shambulizi linaweza kumtokea yeyote na mahali popote katika wakati wowote

..wadhifa haujafutwa.

..TL anatambuliwa na CDM kama mbunge na mnadhimu wa kambi ya upinzani.

..Joe Selasini anatambuliwa kama mbunge na KAIMU mnadhimu wa kambi ya upinzani.

..MAJUKUMU na KAZI za mnadhimu mkuu bado yanasimamiwa na kutekelezwa na KAIMU mnadhimu.

..hakuna nafasi iliyofutwa.
 
Mmmh muhimu SANA kuweka records sawa...mambo ya kizingatia itifaki na protokali ndiyo yanayoleta heshima ya uongozi...

Kama kweli Selasini MB, hakuwa CONFIRMED kimaandishi, na aliwasiliana na uongozi wa juu wa chama, juu ya hilo mara kadhaa, basi walikosea....
 
Hatoliona Jimbo la Rombo Tena
Screenshot_20200103-114212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaona ndani ya Chadema kuna mapungufu ni vema ukatoka na njia sahihi ni Kujiuzulu Ubunge ili Watanzania tukuelewe.

Kama umehudumu kwa miaka 2 hiyo nafasi ,umeshiriki vikao husika na kulipwa posho bila hiyo barua leo unaidai ya nini? Busara ni kujiuzulu Ubunge na kwenda huko utakako sio kuwadanganya Watanzania kumbuka Watanzania sio Wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngempa barua asingejiuzulu. Kwanini hamkumpa?
Kwani barua iliathiri utendaji kazi wake?Mbona amehudumu na kushirikiana na ofisi ya bunge miaka 2 mfululizo bila barua na hakuna aliyejua chochote.Leo mwaka wa mwisho wa ubunge wake ndo anastuka kuwa suala la barua?kama angataka barua mwezi 1 baada ya kupewa hicho kijiti ingekuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom