Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Huyu mama alichaguliwa kwa vigezo gani ? Mbona ni kama akili anaziacha nyumbani waqt anakwenda bungeni. anatoa matatizo halafu mwisho anaunga mkono hoja kwa 100%
Alikuwa mpishi wa ikulu na cleaner wa ndege ya rais