Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

Tatizo tunachagua wabunge kutokana na jinsi anavyoongea kwenye mikutano hatutazami histria na utendaji wake kabla ya kugombea
 
Tatizo huko mliko hakuna watu,wapo kenge ndio maana mmechagua kenge mwenzenu!Nawachukia sana ccm.
 
Akiwa ni miongoni mwa wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa, mbunge huyu amekuwa kama mtalii katika bunge letu mjini Dodoma.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA maarufu kwa jina la " Focus" alijitoa dakika za mwisho na kumfanya mama huyu kupita bila kupingwa.

Lakini cha ajabu huyu mama hajawahi kuisimamia serikali kutokana na ahadi alizozitoa mh Rais ikiwamo kuunganishwa kwa jimbo la Ngenge katika gridi ya taifa.

Sasa basi sisi kama vijana tunakuahidi mh Mbunge kwamba hautorudi mjengoni tena baada ya 2015!

TUMECHOKA

JJB katika watu wenye akili ni wewe bukoba. haka ka mama sikapendi kazi kutoa toa ulimi kama nyoka
 
Huyu Mhe. Asumpta hafai hata kidogo kuwakilisha mkoa wa wapambanaji kama Kagera. Nikikumbuka matusi, vijembe, hoja za uongo na dharau wakati wa bunge maalumu la katiba. Hatuwezi kuwa na mbunge wa mipasho wa namna hii katika maswala muhimu kama kutunga katiba mpya.
Mkoa gani wa wapambanaji?mbona wabunge wenu wote ni design moja?
 
Huyu mama amekera sana hasa kutetea wezi ndani ya bunge na kusema uongo. Tunaomba mwenye sifa kamaili ajitokeze Nkenge tutatumia uwezo wetu wa aina zote kuhakikisha huyu mama asogelei tena dodoma. Mama kama huyu ni aibu kwa taifa na hasara kwa wanawake wanateseka kila siku kwa hali mbaya ya uchumi, kuzalia chini, kukosa dawa, watoto wao kukosa elimu bora na kunyanyaswa kwa kukosa ajira.

Fedha za escrow ni nyingi sana kwa mtu yeyote kuzitetea mwenye akili timamu. Lazima A Mshana atoke Nkenge by October 2015 ili liwe fundisho la wabunge wote wezi.
 
Kuna jamaa aliwahi kutangaza nia katika jimbo hilo na nikiongozi wa CDM Kanda ya Ziwa .mwenye kumbukumbu jina la huyu kamanda anikumbushe
 
huyu mama kwa maelezo yake tu juu ya ESCRO yaonyesha kuwa WANA NKENGE WALIINGIA CHOO CHA KIKE KUMTOA DIODORUS KAMALA
 
Habari zenu watanzania. Huu ni ujumbe mahususi kwa wana Nkenge na wapenda maendeleo ya jimbo letu. Hivi kweli tulikosa mtu makini, msomi na thabiti mwenye kuweza kuleta maendeleo kwa jimbo letu.

Huwa nashikwa na aibu kubwa pale ninapoona mawazo ya mbunge wetu akichangia hoja mbalimbali bungeni na hata nje ya bunge kwa maana hayo mawazo na michango yake huesabika kuwa ametumwa na wananchi wa Nkenge.

Ebu rejea michango yake ya escrow na katiba. Naomba kuwauliza wana Nkenge, je ni kweli hatuna watu wazuri wenye uwezo wa kuwasilisha mawazo na michango yetu iliyosahihi pale bungeni?

Nachelea kusema kuwa tukiendelea kumkumbatia huyu mama tunaendelea kudumaza maendeleo yetu na tunashusha hadhi yetu wanankenge.
 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza,lakini sii wote!huyu alitia aibu bora angekaa kimya,alitoa mwanya wa kuweza kujua IQ yake.
 
teteh,deodatus kamala alipowambia mle nyani mkachukia,poleni sana! bora muendelee na huyo airhostess au barmade wa airtanzania maana hamtawezana na wasema kweli
 
Habari zenu watanzania. Huu ni ujumbe mahususi kwa wana Nkenge na wapenda maendeleo ya jimbo letu. Hivi kweli tulikosa mtu makini, msomi na thabiti mwenye kuweza kuleta maendeleo kwa jimbo letu. Huwa nashikwa na aibu kubwa pale ninapoona mawazo ya mbunge wetu akichangia hoja mbalimbali bungeni na hata nje ya bunge kwa maana hayo mawazo na michango yake huesabika kuwa ametumwa na wananchi wa Nkenge. Ebu rejea michango yake ya escrow na katiba. Naomba kuwauliza wana Nkenge, je ni kweli hatuna watu wazuri wenye uwezo wa kuwasilisha mawazo na michango yetu iliyosahihi pale bungeni? Nachelea kusema kuwa tukiendelea kumkumbatia huyu mama tunaendelea kudumaza maendeleo yetu na tunashusha hadhi yetu wanankenge.

Vichwa vya CCM aka Chama cha Wezi(Think Tanks): Assumpta Mshama, Livingstone Lusinde, Abdallah Bulembo, John Komba, Ismail Aden Rage, hawa ni noma!! No wonder CCM is the party of choice to take us to the promised land of milk and honey!!!!!
 
Sasa mwaka huu issue haitakua kuwalaumu ccm bali wananchi kwa kukubali kuchagua mtu bila kufikiria. Kiongozi mzuri hayuko ccm tu, bali hata cuf, chadema, na kadhalika. Ni sisi wananchi kuamua kumchagua mtu sahihi na si chama!
 
Back
Top Bottom