Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 920
- 2,635
Angemshinda vipi Felix Mkosamali bila kuiba kura ?Mmmh, kama hakuiba kura mungu amweke pahali pema...
🙏🏾Mmmh, kama hakuiba kura Mungu amweke pahali pema...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.
Umeona picha la kihindi.RIP ,pole kwa familia.Ajali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!
Correct instinctsAjali?
Really?
Picha iko wapi?
Mnaona WaTZ wajinga eee?
Keep on lying to yourselves!