Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 916
- 2,632
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.
Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969
Spika Ndugai amesema Marehemu alipata ajali Feb. 10. 2021 Nanenane Dodoma na kupelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma na kuhamishiwa hospitali ya Benjamin Mkapa alikofariki Feb. 12. 2021, Nditiye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi.