Uhai ni bora kuliko ubungeHakuna anaetishwa watu wanaangalia upepo wa mbele...hakuna mbunge asiependa kuendelea kuwa mbunge.
Subirini kwanza Hadi Kama watafanikiwa kuiwa cdm na ACT ndo tutaamia hukochauma kwanza atupendi wanaaa
Silinde alikwishahamia CCM siku nyingi. Hakuna jipya.
Ni wa hovyo Sana yule jamaa.Yaani kahamishwa kiti hapo hapo, hakuna kufuata taratibu za kisheria tena, Ndugai ndie Spika wa ajabu kuwahi kutokea kwenye bunge la JMT.
Lakini hivi sasa hana haki ya kuwa mbunge.....Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
====
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde kwa tiketi ya CHADEMA ametangaza kujiunga CCM. Davidi amekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA tangu mwaka 2010
Mbunge huyo alijiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya CHADEMA mwezi Mei, baada ya wabunge wenzake kumtaka kufanya hivyo kwa kutotii agizo la kutokwenda bungeni
Wakati anajiuzulu alisema wananchi ndio walimtuma bungeni, hivyo hata akikosa udhamini wa CHADEMA, atatumia chama kingine
Hasira za mkizi!Popote tu aende hata Chauma
KabisaKwa umri nilioishi na kushuhudia siasa za vyama vingi, muhula huu nimeona vitu vya ajabu kabisa.
Ngoja tuone muhula ujao.
Hayo ndiyo maajabu ya Spika Ndugai!Mbunge akitangaza kuhama chama bado anaendelea kuwa mbunge??
Kusini wakacheza na Cecil Mwambe na Makamu Mwenyekiti wa CUFUteuzi wa mgombea uraisi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kapigwa pini hata vikiletwa vitu vyake jamii forums vinakuwa deleted na moderators
Inaelekea wanataka zisikike taarifa za mgombea Tundu Lisu tu hawataki za Msigwa lakini hawamtendei haki kwa chama kinachojiita Cha kidemokrasia inaelekea jamii forums Kuna moderators team Lisu wanamdhibiti Msigwa asiwe hewani na jinsi uthibiti kwake ulivyo mkubwa sidhani Kama hata ubunge Iringa mjini Kama atapitishwa inaonekana Kuna agenda dhidi ya Msigwa kutangaza kugombea uraisi imekuwa nongwa Wanatangaza watu wagombee wakitaka visasi na vinyongo vinaanza
Hili zoezi la ugombea uraisi halitaiacha chadema salama litakikata chama vipande
Sababu Msigwa kanda ya nyanda za juu ana nguvu Sana Tena mno Team Lisu wasidhani watapata kura kirahisi nyanda za juu kusini kwa kumchezea rafu Msigwa watakiona Cha mtema kuni
Chadema wanachezea wababe wa kanda .Kanda ya ziwa wamecheza na Rwakatare na profesa Baregu na wahanga wa MV butiama hawakwenda hata msibani Hadi mbunge akatimuka kuhamia CCM inakula Kwao.Kanda ya kaskazini wamecheza na Dr Slaa,Lowasa,selasini na Komu na Mbatia ya Pwani wamecheza na profesa Safari na Sumaye , Zanzibar na Pemba wamecheza na Duni Haji na watakiona Cha mtema kuni Sasa wanahamia nyanda za juu kusini kwa Msigwa navSilinde wasubiri majibu uchaguzi mkuu kila sehemu wamevuruga na kote Kuna Giants
Safari hii chadema itapata kura chache Sana masna wafuasi wa hao Giants wataipabwakati mgumu chadema kwenye maeneo Yao
Silinde kuhama kaondoka na team
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
====
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde kwa tiketi ya CHADEMA ametangaza kujiunga CCM. Davidi amekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA tangu mwaka 2010
Mbunge huyo alijiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya CHADEMA mwezi Mei, baada ya wabunge wenzake kumtaka kufanya hivyo kwa kutotii agizo la kutokwenda bungeni
Wakati anajiuzulu alisema wananchi ndio walimtuma bungeni, hivyo hata akikosa udhamini wa CHADEMA, atatumia chama kingine
Hayo ndiyo maajabu ya Spika Ndugai!